Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SIMBA KWANZA.Watetezi wa Kibu D karibuni kwa maoni.
Ulimwengu wa leo sio wa kufanyia mambo mafichoni kama unamvizia mtu.Kumtetea mpuuzi kama huyo ni upuuzi
Wapi nilitaka taarifa ya kibu.
Kiukweli simba hapo wameboronga, taarifa hii ni kama mkwara tu kwa kibu, wangetoa taarifa ya maamuzi yao ingependeza
Ushawahi sikia wapi madrid,arsenal man u, wakapiga mchezaji mkwara, ni ukifanya nyoko unakula chuma, hivi ni kuendekeza upumbavu, sisi hatuhitaji kujua juhudi zao, watuoneshe walivyo strict kwa uzembe na upuuzi.Ulimwengu wa leo sio wa kufanyia mambo mafichoni kama unamvizia mtu.
Taarifa imetolewa na klabu na naamini Kibu naye amepewa taarifa rasmi juu ya kusudio la klabu kutaka kumchukulia hatua.
Sasa hawezi kuja na utetezi kwamba hakupewa nafasi ya kujitetea maana hadi taarifa imetolewa public means kuna juhudi zimefanyika ndani ya klabu kati ya mchezaji na klabu.
Unajuaje klabu hizo ulizozitaja zina utaratibu huo? Huwa unafuatilia habari za klabu hizo pasipo kukosa?Ushawahi sikia wapi madrid,arsenal man u, wakapiga mchezaji mkwara, ni ukifanya nyoko unakula chuma, hivi ni kuendekeza upumbavu, sisi hatuhitaji kujua juhudi zao, watuoneshe walivyo strict kwa uzembe na upuuzi.
Aahh.. hapo sawa umekubali bongo kuna UJINGA UJINGA, basi hii taarifa ya mkwara ni UJINGA mwingine.Unajuaje klabu hizo ulizozitaja zina utaratibu huo? Huwa unafuatilia habari za klabu hizo pasipo kukosa?
Halafu klabu hizo zipo civilized huwezi kukuta ujinga ujinga kama huu wa kibongo...
Yaleyale ya 1-5 wachezaji wamehongwa tutawafungia.Acheni mikwara Kutaka huruma kwa mashabiki
Timu ni ya Moo aliinunua miaka 5 iliyopita. Kama ni ya wanachama mbona haisajili wanachama wapya ili iende kinyume na matakwa ya mwenye timu?Mkipewa taarifa rasmi shida msipopewa mkabaki na tetesi na minong'ono shida vile vile.
Watu kama nyinyi hamueleweki mnachotaka.
Simba wamefanya jambo zuri kuutarifu umma kwakuwa timu ni ya wanachama na mashabiki sio ya viongozi pekee.
Huna akiliMaduka ya Yanga ndani ya Simba yanaanza kujionyesha,tulipigwa 5-1 kwa ajili ya haya maduka, Saido,Kibu,Inonga ,Chama na Manula. Upande wa pili utakuwa ulirubuni wachezaji wa Simba kucheza chini ya kiwango ili iwe rahisi wao kuchukua ubingwa, rejea jamaa alivyokuwa anawapa mbinu kwa whatsapp kina Tuisila walipokuwa Morocco ili waweza kuifunga Simba.
Kibu ni mshamba, bado hana jina alaf anatapatapa.
Tatizo huna kadi ya uanachama na hilipii sasa utajuaje kama timu ina sehemu ya mwekezaji na wanachama?Timu ni ya Moo aliinunua miaka 5 iliyopita. Kama ni ya wanachama mbona haisajili wanachama wapya ili iende kinyume na matakwa ya mwenye timu?
Una uelewa finyu sio kosa lako ni kawaida ya binadamu kutofautiana kiuelewa.Aahh.. hapo sawa umekubali bongo kuna UJINGA UJINGA, basi hii taarifa ya mkwara ni UJINGA mwingine.
Kibu denis ana goli moja tu msimu mzima hivi kwa akili yako saido haukuona kama umri umeenda?Maduka ya Yanga ndani ya Simba yanaanza kujionyesha,tulipigwa 5-1 kwa ajili ya haya maduka, Saido,Kibu,Inonga ,Chama na Manula. Upande wa pili utakuwa ulirubuni wachezaji wa Simba kucheza chini ya kiwango ili iwe rahisi wao kuchukua ubingwa, rejea jamaa alivyokuwa anawapa mbinu kwa whatsapp kina Tuisila walipokuwa Morocco ili waweza kuifunga Simba.
Mjinga kujikuta ana akili nyingi sasa, ndio zao... 😄 🤣 😂Una uelewa finyu sio kosa lako ni kawaida ya binadamu kutofautiana kiuelewa.
Unamvunjia heshima huyo ostadh amekuzidi vingi mno kwenye footballUna uelewa finyu sio kosa lako ni kawaida ya binadamu kutofautiana kiuelewa.