Simba kumchukulia hatua za kinidhamu Kibu Denis kwa kutokuripoti kambini

Simba kumchukulia hatua za kinidhamu Kibu Denis kwa kutokuripoti kambini

mchezaji kama huyomwenye goli moja msimu mzima ni wakuachana nae mapema
 
Kumtetea mpuuzi kama huyo ni upuuzi

Wapi nilitaka taarifa ya kibu.

Kiukweli simba hapo wameboronga, taarifa hii ni kama mkwara tu kwa kibu, wangetoa taarifa ya maamuzi yao ingependeza
Ulimwengu wa leo sio wa kufanyia mambo mafichoni kama unamvizia mtu.

Taarifa imetolewa na klabu na naamini Kibu naye amepewa taarifa rasmi juu ya kusudio la klabu kutaka kumchukulia hatua.

Sasa hawezi kuja na utetezi kwamba hakupewa nafasi ya kujitetea maana hadi taarifa imetolewa public means kuna juhudi zimefanyika ndani ya klabu kati ya mchezaji na klabu.
 
Kibu angekuwa hana nia ya kuendelea kuitumikia Simba alikuwa na option ya kutokuongeza mkataba ingempa heshima kuliko hivi anavyofanya.

Unachukua hela ya mtu kwa makubaliano halali ya kutumikia kile mlichokubaliana halafu unaanza uhuni wa kishamba.
 
Ulimwengu wa leo sio wa kufanyia mambo mafichoni kama unamvizia mtu.

Taarifa imetolewa na klabu na naamini Kibu naye amepewa taarifa rasmi juu ya kusudio la klabu kutaka kumchukulia hatua.

Sasa hawezi kuja na utetezi kwamba hakupewa nafasi ya kujitetea maana hadi taarifa imetolewa public means kuna juhudi zimefanyika ndani ya klabu kati ya mchezaji na klabu.
Ushawahi sikia wapi madrid,arsenal man u, wakapiga mchezaji mkwara, ni ukifanya nyoko unakula chuma, hivi ni kuendekeza upumbavu, sisi hatuhitaji kujua juhudi zao, watuoneshe walivyo strict kwa uzembe na upuuzi.
 
Unajuaje klabu hizo ulizozitaja zina utaratibu huo? Huwa unafuatilia habari za klabu hizo pasipo kukosa?

Halafu klabu hizo zipo civilized huwezi kukuta ujinga ujinga kama huu wa kibongo.

Halafu sio lazima taratibu za klabu moja na nyingine ziwe uniform kila klabu inaweza kuwa na taratibu zake.

Umekazana kwamba Simba inampiga mkwara Kibu, hivi kumpa mtu tahadhari ama onyo ni kumpiga mkwara?

Kuna utaratibu wa kumpa mdaiwa kitu kinaitwa Demand letter ya kumuomba akulipe deni kabla hujampeleka mahakamani, je, huo nao ni mkwara ama ni onyo/tahadhari anayopewa mtu ili asije kusema umemfanyia surprise?
 
Unajuaje klabu hizo ulizozitaja zina utaratibu huo? Huwa unafuatilia habari za klabu hizo pasipo kukosa?

Halafu klabu hizo zipo civilized huwezi kukuta ujinga ujinga kama huu wa kibongo...
Aahh.. hapo sawa umekubali bongo kuna UJINGA UJINGA, basi hii taarifa ya mkwara ni UJINGA mwingine.
 
Mkipewa taarifa rasmi shida msipopewa mkabaki na tetesi na minong'ono shida vile vile.

Watu kama nyinyi hamueleweki mnachotaka.

Simba wamefanya jambo zuri kuutarifu umma kwakuwa timu ni ya wanachama na mashabiki sio ya viongozi pekee.
Timu ni ya Moo aliinunua miaka 5 iliyopita. Kama ni ya wanachama mbona haisajili wanachama wapya ili iende kinyume na matakwa ya mwenye timu?
 
Maduka ya Yanga ndani ya Simba yanaanza kujionyesha,tulipigwa 5-1 kwa ajili ya haya maduka, Saido,Kibu,Inonga ,Chama na Manula. Upande wa pili utakuwa ulirubuni wachezaji wa Simba kucheza chini ya kiwango ili iwe rahisi wao kuchukua ubingwa, rejea jamaa alivyokuwa anawapa mbinu kwa whatsapp kina Tuisila walipokuwa Morocco ili waweza kuifunga Simba.
Huna akili
 
Kalipa nauli yuko huko US analea mbegu za mzazi aliyemtangulia.
Zikiisha mbongo atarudi kuomba msamaha.
 
Timu ni ya Moo aliinunua miaka 5 iliyopita. Kama ni ya wanachama mbona haisajili wanachama wapya ili iende kinyume na matakwa ya mwenye timu?
Tatizo huna kadi ya uanachama na hilipii sasa utajuaje kama timu ina sehemu ya mwekezaji na wanachama?
 
Maduka ya Yanga ndani ya Simba yanaanza kujionyesha,tulipigwa 5-1 kwa ajili ya haya maduka, Saido,Kibu,Inonga ,Chama na Manula. Upande wa pili utakuwa ulirubuni wachezaji wa Simba kucheza chini ya kiwango ili iwe rahisi wao kuchukua ubingwa, rejea jamaa alivyokuwa anawapa mbinu kwa whatsapp kina Tuisila walipokuwa Morocco ili waweza kuifunga Simba.
Kibu denis ana goli moja tu msimu mzima hivi kwa akili yako saido haukuona kama umri umeenda?
 
Back
Top Bottom