Simba kumfunga Al Ahly wanapaswa kuwa na kikosi cha Yanga

Umeongea kishabiki Sana ,lakini bado unahoja Simba kiukweli haijakaa vizuri lakini mpira ni dk 90
Iko wazi ...,....pale Simba at least kidgo ntibazokiza ndiye anacheza Kwa kujituma .....na inonga ....ila the rest wanacheza kifaza
 
Ushindi wa Matuta
 
Naona uto mmejikusanya kwenye huu uzi kuforce furaha kutamani mambo ambayo mmeyashindwa
How come simba awe na kikosi cha yanga kucheza na al ahly wakati kikosi hicho cha yanga kilimshindwa al hilal? Nonsense!
Simba alipita Kwa kikutana na timu mbovu
 
Sasa mbona hukumfunga Simba na kikosi chako?
 
Game naipa Hamsini Hamsini Simba anaweza pita au asipite, Ligi yetu imekua sana mara zote Simba wa Kimataifa hua wanakiwasha , acha vioja bwana mdogo facken kabisa.
 
Yanga hii ambayo haijawahi kuingia hatua ya makundi kwenye caf champions league kwa miaka 25!!, huoni hata aibu!! Yanga hii ambayo ina hadhi ya kuanzia mchangani kwenye mashindano ya caf champions league!! Yanga hii ambayo haijui hata kupiga penati!! Au unazungumzia yanga ipi? Lakini hii ya jangwani ni maumivu matupu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…