Simba kumfunga Al Ahly wanapaswa kuwa na kikosi cha Yanga

Jiulize yanga kacheza na ahly mara ngapi ukipata jibu ,jiulize kwanini ?utachezaje na ahly mara ya mwisho kuingia makundi 1998
 
Jiulize yanga kacheza na ahly mara ngapi ukipata jibu ,jiulize kwanini ?utachezaje na ahly mara ya mwisho kuingia makundi 1998
Tukutane fainali CAF champions league
 
Tukutane fainali CAF champions league
1998 ulikuwa na miaka mingapi?viongozi wako wanaposema Lengo kufika makundi unajua wanamaanisha Nini 2023-1998 mtoto kaanza shule kamaliza chuo Tena udaktari ,kuwa makini na vitu vidogo .
 
1998 ulikuwa na miaka mingapi?viongozi wako wanaposema Lengo kufika makundi unajua wanamaanisha Nini 2023-1998 mtoto kaanza shule kamaliza chuo Tena udaktari ,kuwa makini na vitu vidogo .
Tunaongelea saizi mkuu....
 
Yanga hawashikiki mkono. Simba imeishika kupeleka timu nne, lakini imekuwa inatolewa raundi za awali
Yanga ndio kawapeleka wote....sema Azam kazingua mapema......anaefuata ni kolo
 
Ingekuwa hivyo basi Kubet ingekuwa rahisi sana, simba huwa siamini kubwa ni mbovu shida tunalinganisha na Young Africans ya sasa, lakini huenda hao A Alhly wanapigwa na simba simple ni keakuichukulia simba ni underdog.

Mpira una mambo yake
 
Yanga ndio kawapeleka wote....sema Azam kazingua mapema......anaefuata ni kolo
Umesikia lengo la klabu yako lililotolewa na viongozi wako? Hersi na Kamwe wametamka hadharani studio kuwa lengo la Yanga ni kufikia hatua ya makundi ya CAF CL
 
Hivi mumeshasahau kuwa Mwarabu anawasubiri hapo Kigali kutwa kuijadili Simba tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…