Ngoja tuoneIngekuwa hivyo basi Kubet ingekuwa rahisi sana, simba huwa siamini kubwa ni mbovu shida tunalinganisha na Young Africans ya sasa, lakini huenda hao A Alhly wanapigwa na simba simple ni keakuichukulia simba ni underdog.
Mpira una mambo yake
Mkuu unajizima data. Yanga ashawahi kumzingua Al Ahly kuliko Simba ambavyo angeweza kumzingua Al AhlyJiulize yanga kacheza na ahly mara ngapi ukipata jibu ,jiulize kwanini ?utachezaje na ahly mara ya mwisho kuingia makundi 1998
Vijana wa Tz mnajitoa sana ufahamu, kwahiyo Yanga hajawahi kumpasua Al Ahly kwenye hii michuano ya CAF?acha ushabiki kahawa nani asha mfunga al ahly east afrika hii na kati? we mtaje kama una ujeuri
Kapimwe mkojo wewe... Sio bureUchambuzi
Ni mjinga tu ataamini kuwa kikosi tia maji tia maji Cha Simba [emoji240] [emoji240] kinaweza kumtoa giant Al ahly
Ili kumtoa yule jamaa unahitaji watu wenye spidi kwenye kukaba. + kushambulia kama wachezaji wa Yanga .......max mzengeli .......yao
Pia unahitaji wachezaji kama Aziz ki ambao wanaweza kufunga mipira iliyokufa at least kupata goli pale mkitingwa
NB: Kama utam,betia kolo .......basi hiyo pesa nunua sabuni pigia puriView attachment 2739720
Kivipi?Mkuu unajizima data. Yanga ashawahi kumzingua Al Ahly kuliko Simba ambavyo angeweza kumzingua Al Ahly
Labda Waarabu koko wasojielewa sawa... Yani pale kwenye top 10 ya Africa hakuna mwarabu wa kufungwa na huo utopolo wako....Mkuu umesahau kuwa Yanga ni kiboko ya waarabu
Posesheni futbol haina tija zaidi ya kuwafurahisha wapenzi watazamaji, nakubaliana naww 100%... Kama mtu anabisha ni ukazaji wa fuvu tu na anatakiwa kujiuliza, ni kwanini katika timu 10 bora afrika kwasasa zaidi ya 80% hawatumii aina hiyo ya uchezaji?....Huo mpira wa possession simba walishaona hauwasaidii pira biriani ndio lilifanya mamelody sundowns wakatolewa Caf champions league pira nare nare limepitwa na wakati.
Yanga alimpiga Al Ahly 1 Taifa na akaenda matuta kule Misri. Hiyo Game Al Ahly alikuwa anaaga mashindano.Kivipi?
Lini yanga imeifunga Simba ?unakuwaje Bora kuliko unayeshindwa kumfunga?Yanga anapaswa kumfunga Simba ili maneno unayoyasema yawe valid.Tunaongelea saizi mkuu....
Huwa hakuna target ndogo na kubwa. Target ni mojaIle ni target ndogo
Wanaelewa basi simba sio wajinga kumpa team robertinyo yaani kocha unakuwa kama Patrick ausem anaenda ugenini kwa al ahly anampigia pira biriani alikufa mkono ila kocha kama kishingo yule na robertinyo huwezi kuwafunga tano halafu bado anakuja mpira wa simba ni ule aliocheza na power dynamo mpira unatakiwa uwe na balance sio unafunga goal zinarudishwa.Posesheni futbol haina tija zaidi ya kuwafurahisha wapenzi watazamaji, nakubaliana naww 100%... Kama mtu anabisha ni ukazaji wa fuvu tu na anatakiwa kujiuliza, ni kwanini katika timu 10 bora afrika kwasasa zaidi ya 80% hawatumii aina hiyo ya uchezaji?....