Achraf Hakimi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2010
- 943
- 1,944
Feisal hawezi kutambulishwa Simba kwasababu tayari kuna sekeseke la kimkataba dhidi ya Yanga. Tetesi zinaonesha ni kiungo Ismael SawadogoManzoki navyo sikia ana majeraha, sidhani kama atasajiliwa
Wapo wadau wanaomuhusisha Feisal kwenye utambulisho wa baadae kwa kile alicho post kwenye page yake
Viongozi wa Simba this time msifanye makosa tuleteeni mtu wa maana
Kutoka wapi huyu mchezaji?Feisal hawezi kutambulishwa Simba kwasababu tayari kuna sekeseke la kimkataba dhidi ya Yanga. Tetesi zinaonesha ni kiungo Ismael Sawadogo
Kwa Feisal nami hiyo ndio hoja yanguFeisal hawezi kutambulishwa Simba kwasababu tayari kuna sekeseke la kimkataba dhidi ya Yanga. Tetesi zinaonesha ni kiungo Ismael Sawadogo
Haha ni wakukaa benchi tu mzeeKutoka wapi huyu mchezaji?
Kiwango chake kinamfaa kuingia first 11 ya simba au ndio wapsha bench ili kutupoza mashabiki?
Which level bro?SIMBA going above next level
Walete mchezaji wa kuanza kikosi cha kwanza sio wa kuketi benchi.Manzoki navyo sikia ana majeraha, sidhani kama atasajiliwa
Wapo wadau wanaomuhusisha Feisal kwenye utambulisho wa baadae kwa kile alicho post kwenye page yake
Viongozi wa Simba this time msifanye makosa tuleteeni mtu wa maana
Jamaa yupi huyo mkuu?!Ni yule jamaa aliyempisha top straika wa Tz kule Congo.....!!!
Utampata wapi mchezaji wa kuanza wakati pesa zenyewe hazipo😜Walete mchezaji wa kuanza kikosi cha kwanza sio wa kuketi benchi.
Yaache tu mkuu.Utampata wapi mchezaji wa kuanza wakati pesa zenyewe hazipo😜