Simba kumtambulisha mchezaji mpya leo usiku

Hilo ni kwa siku za hivi karibuni ila tuangalie haya mambo ya kusajili na kutangaza wachezaji kwa style hizi ulipoanza, Simba walikuwa wanatumia utaratibu gani.

Sisemi sisi ndiyo tulianza kwanza, ningependa tu kufahamu
Embu soma post namba 30 na 31 kwanza halafu siku nyingine ujifunze kujibu kitu kulingana na hoja ya mtu aliyotoa.
 
Hebu tumia factor hiyo ya umri kuongelea kiwango cha Messi, Modric, pepe, Giroud n.k kwenye World Cup.
 
Klabu ya Simba SC imemtambulisha kiungo mkabaji Ismail Sawadogo kutoka klabu ya Difaa El Jadida ya nchini Morocco.
Sawadogo (26) raia wa Burkina Faso anatarajiwa kuwasili nchini kesho Jumapili alfajiri ambapo atasubiri kujiunga na kikosi kitakapowasili Jumanne kutokea Dubai.
 
Nguvu moja...jamaa akiimudu vizuri namba 6, Mnyama atatisha zaidi ya Sasa.

Scars Kalpana OKW BOBAN SUNZU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…