Simba kupata bao kwa Nkana sio shida, shida ni kuwazuia nao kupata bao

Simba kupata bao kwa Nkana sio shida, shida ni kuwazuia nao kupata bao

Wewe mlima chumvi unalipi la kusema kwa leo na nkana yako??
 
Huyu chura kila akianzisha thread SIMBA inashinda.
Endelea YeboYebo. Mwisho utakoma mwenyewe. OHH Nkana sio Mbabane. KWELI??
 
Simba wa dampo kala nguchiro ahaaaaa bado kutafuna ndala wa pale mafuriko ya mwendokasi!!!!!!!
 
KULIKONI WE MWEHU UMESHAPONA?
Mchezo wa club bingwa Africa utakaopigwa leo uwanja mkuu wa taifa leo kati ya Simba na Nkana red devils ya pale kitwe Zambia,dhahiri shahili inaonyesha Nkana wananafasi kubwa ya kupata matokeo ugenini huku wakiwa wanaongoza goli 2-1.Huku simba wakihitaji goli moja tu ili kufuzu lakini mashabiki wengi wanawasiwasi na pazia lao pale langoni kama linaweza kuhimili dakika 90 bila kuruhusu huku wakiwa nabeki mbovu kabisa ya wawa ambaye hana speed na umri umenoga,japo wengi wanalialia aanze juko ambaye yeye dakika kumi nyingi atakuwa kala umeme(red card) kwa namna anavyocheza kama mieleka.

Mashabiki wa Simba jiandaeni kisaikologia kwa matokeo ya leo pale Taifa au hata mkienda kucheza sebuleni kwa Mo bado matumaini ni sifuri.

Kila la heri MTANZANIA mwenzetu Hassan Kessy ktk mchezo wa leoView attachment 975185
 
Goli la Chama unaweza kuchukulia mkopo benki.
 
Back
Top Bottom