Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo kawa Simba wa kweliTupe matokeo ya paka wa dampo mkuu...!!
Hivi hii kauli bado unayo au umeibadilisha na ngamia keshapenya au laSimba kufuzu ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Aibu kwenye mpira itoke wapi. Mmeshinda furahini ni siku yenuInjinia unaona aibu kusoma ubao hahahah
Naona binti wa Kenya na jina la kike nae yumo.Hii ndio Simba..Huyo ni Thimba wa Kibisa
Ohoo...Leo kawa Simba wa kweli
Mchezo wa club bingwa Africa utakaopigwa leo uwanja mkuu wa taifa leo kati ya Simba na Nkana red devils ya pale kitwe Zambia,dhahiri shahili inaonyesha Nkana wananafasi kubwa ya kupata matokeo ugenini huku wakiwa wanaongoza goli 2-1.Huku simba wakihitaji goli moja tu ili kufuzu lakini mashabiki wengi wanawasiwasi na pazia lao pale langoni kama linaweza kuhimili dakika 90 bila kuruhusu huku wakiwa nabeki mbovu kabisa ya wawa ambaye hana speed na umri umenoga,japo wengi wanalialia aanze juko ambaye yeye dakika kumi nyingi atakuwa kala umeme(red card) kwa namna anavyocheza kama mieleka.
Mashabiki wa Simba jiandaeni kisaikologia kwa matokeo ya leo pale Taifa au hata mkienda kucheza sebuleni kwa Mo bado matumaini ni sifuri.
Kila la heri MTANZANIA mwenzetu Hassan Kessy ktk mchezo wa leoView attachment 975185
Ndiyo hivyo. Maisha yanaendelea.Ohoo...
Vip jicho lako la tatu liko wap?[emoji16][emoji16]mwandishi anaona kwa jicho la tatu sasa wewe una tumia macho mawili tu,