Simba kutinga robo fainali tunakunja Bilioni 1.56 kiroho saaafi

"Simba inaendeshwa kwa hasara "Mo Dewji...ukipiga mahesabu toka watoke Uturuki mpaka Leo..mmetumia hela zaidi ya hiyo.. Bila ya matajiri kutoa fedha zao mifukoni hakuna kitu
 
Kwa hapa Simba ilipofikia ni mafanikio mazuri kabisa! Potelea mbali kama ni TP Mazembe tu ! waje! Shabaha tuliyoweka imefikiwa kwa A+!😛😛😛
 
Tufunge na kuomba jamani ,ili tuendelee kupata raha kama zote
Kanuni ni kwamba timu zilizo maliza katika nafasi ya pili mechi zake za kwanza zinaanzia home na kumalizia ugenini.
-Pili timu zilizokuwa group moja haziwezi kukutana kwenye droo ya j5
Tatu, hivyo Simba anategemea kukutana na miongoni mwa TP MAZEMBE, WYDAD CASABLANCA AU ESPERANCE.
So siyo kuzuri tuendako inatakiwa simba ishinde magoli mengi nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooopssss lwemue kuanzia nyumbani na kumalizia ugenini pana changamoto kiasi maana game za nje naona kama hatuzielewi hivi
 
Simba vs TP Mazembe, Robo fainali.
Patamu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakipenda tupangiwe hata na Bacelona au sijui Man City sie lengo tushatimiza. Ukiangalia top 10 ya vilabu bora Africa hutakuta vyura wakimangamanga kwenye list, lazima utakutana na timu la kiumeni SIMBA!

Nyie vyura wa mabwawa ya tope size yenu ni Lipuli au ile FC Ng'e ya pale Kishumundu!

Msiumie sana Simba kupewa madolali ni haki yao. Naomba yale mabakuli yenu ya mawese, oh sorry ya Sadaka za matapeli ka wachungaji matapeli kina Mwamposa sijui Mwingira muwe mnakuja nayo kwenye mechi za matajiri Simba tuwachangie japo buku buku mkanunue vitumbua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza ukaweka hayo mahesabu vizuri Mkuu,tujue hatua ya makundi wamepata kiasi gani na sasa kiasi gani?

Maana kuna kuna sehemu nimeona hiyo billion1.56 ukitoa 5% ya TFF ndio jumla ya pesa itakayopata kwa kufika makundi na robo!
Ndio hivyo hakuna hela nyingine zaidi ya hiyo
 
kwenye hiyo goal difference inatoka picha ya udhaifu wa ulinzi.
unaweza kusema hivyo mkuu ila goal difference haikuwa na tija sana pale kikubwa ilikuwa point, na ndo maana kunawatu walikuwa na + ila wamerudi kwao, nadhani mkufunzi atalifanyia kazi hilo na atakuja na game plan yale ya kumvusha
 
VYURA wapo na matatizo kibao ya kwao hawayaoni.
Ukiwa na roho mbaya ukiona mwenzio anafanikiwa basi husda kibao.
Njia nzuri ya kufanikiwa ni kuwa na mipango mizuri.
Ukiwa unakalia majungu na roho ya korosho unabaki na udhalili wako.
Kuna jamaa ana mquote Mo kasema Simba inaendeshwa kwa hasara .Biashara kwa wanaoifahamu iwe ya hisa au ya duka la Mangi inapoanza inakuwa haizalishi faida. Kwa sababu unaingiza mtaji na inabidi usubiri ili mtaji wako ulete faida.
Nimetumia lugha nyepesi ili hata aliye mentally challenged aelewe.
 
Milioni 68 zimechangwa miezi 5.
Halafu walivyo wajinga bado wanaizungumzia Simba.
 
unaweza kusema hivyo mkuu ila goal difference haikuwa na tija sana pale kikubwa ilikuwa point, na ndo maana kunawatu walikuwa na + ila wamerudi kwao, nadhani mkufunzi atalifanyia kazi hilo na atakuja na game plan yale ya kumvusha
uko sahihi, sms hiyo hitimisho lake lilikuwa kutoa ushauri kwa kamati ya ufundi kuweka mkakati wa kuboresha safu ya ulinzi.
 
ISOMWE KWA SAUTI...
Ntajing’ata mgongoni Simba wakienda Nusu fainali ya ligi ya mabingwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…