kalendi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 1,334
- 527
Mkuu unataka kusahau Wydad Athletic!Hakika mkuu,hawa wetu. Shida ipo kwa Mazembe na mwenzie Esperance wale ni hatari
Sent using My Xiaomi Redmi 4a
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unataka kusahau Wydad Athletic!Hakika mkuu,hawa wetu. Shida ipo kwa Mazembe na mwenzie Esperance wale ni hatari
Tufunge na kuomba jamani ,ili tuendelee kupata raha kama zoteNatamani tupewe mamelod au horoya, hawa tunawamudu vizuri sana.
Kanuni ni kwamba timu zilizo maliza katika nafasi ya pili mechi zake za kwanza zinaanzia home na kumalizia ugenini.Tufunge na kuomba jamani ,ili tuendelee kupata raha kama zote
Ooopssss lwemue kuanzia nyumbani na kumalizia ugenini pana changamoto kiasi maana game za nje naona kama hatuzielewi hiviKanuni ni kwamba timu zilizo maliza katika nafasi ya pili mechi zake za kwanza zinaanzia home na kumalizia ugenini.
-Pili timu zilizokuwa group moja haziwezi kukutana kwenye droo ya j5
Tatu, hivyo Simba anategemea kukutana na miongoni mwa TP MAZEMBE, WYDAD CASABLANCA AU ESPERANCE.
So siyo kuzuri tuendako inatakiwa simba ishinde magoli mengi nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakipenda tupangiwe hata na Bacelona au sijui Man City sie lengo tushatimiza. Ukiangalia top 10 ya vilabu bora Africa hutakuta vyura wakimangamanga kwenye list, lazima utakutana na timu la kiumeni SIMBA!
Ndio hivyo hakuna hela nyingine zaidi ya hiyoUnaweza ukaweka hayo mahesabu vizuri Mkuu,tujue hatua ya makundi wamepata kiasi gani na sasa kiasi gani?
Maana kuna kuna sehemu nimeona hiyo billion1.56 ukitoa 5% ya TFF ndio jumla ya pesa itakayopata kwa kufika makundi na robo!
Haya assume upigaji upo popote, wenzio wanapewa mabilioni inapigwa milioni, nyie vyura mnakusanya sadaka 67,350 TSh then inapigwa sh ngp????Upigaji unaenda na mfumo wowote tu ilimradi pesa iwepo
unaweza kusema hivyo mkuu ila goal difference haikuwa na tija sana pale kikubwa ilikuwa point, na ndo maana kunawatu walikuwa na + ila wamerudi kwao, nadhani mkufunzi atalifanyia kazi hilo na atakuja na game plan yale ya kumvushakwenye hiyo goal difference inatoka picha ya udhaifu wa ulinzi.
Yanga bhana... hoja zimewakauka mmepigwa butwaa.Thamani ya club yenu ni only 20b kumbe zawadi za CAF zinawakaribia thamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
uko sahihi, sms hiyo hitimisho lake lilikuwa kutoa ushauri kwa kamati ya ufundi kuweka mkakati wa kuboresha safu ya ulinzi.unaweza kusema hivyo mkuu ila goal difference haikuwa na tija sana pale kikubwa ilikuwa point, na ndo maana kunawatu walikuwa na + ila wamerudi kwao, nadhani mkufunzi atalifanyia kazi hilo na atakuja na game plan yale ya kumvusha