Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Mkuu tùlia upewe Tp Mazembe au EsperaňceNyie Yanga hao Mazembe wa kuwapa Simba mmewapata wapi? Au nyie ndio mnapanga hizi mechi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tùlia upewe Tp Mazembe au EsperaňceNyie Yanga hao Mazembe wa kuwapa Simba mmewapata wapi? Au nyie ndio mnapanga hizi mechi?
Wanainğia katika record ya upigajiAveva na kaburu wanaingiaje simba? Ebu update hiyo processor yako.
Simba ipi?Wanainğia katika record ya upigaji
Kwani zipo ngapi?Simba ipi?
To a huo uthibitisho wa upigaj hera sio unaongea tu baada ya simba kuigunga AS,vitaUpigaji unaenda na mfumo wowote tu ilimradi pesa iwepo
Simba hawezi pangwa na Horoya wala Mamelodi, hawa wote wamepata nafasi ya pili kwenye makundi yao kama Simba, hivyo atapangwa na moja ya timu zilizopata nafasi ya kwanza kwenye makundi yao, Simba anaweza kukutana tena na Al Ahly, au Esperance, Mazembe na Wydad CasablancaHuu ndio mchanganuo wa prizes mpya za CAF kuanzia 2017-2020 kwa CAF Champions. Baada ya kukunja mabilioni kwenye hatua ya makundi,sasa Mnyama wenu tumekunja tena USD 650,000 sawa na takribani TZS. 1,560,000,000
Champions: US$ 2.5 million
Runners-up: US$ 1.25 million
Semi-finalists: US$ 800,000
Quarter-finalists: US$ 650,000
3rd in group stage: US$ 550,000
4th in group stage: US$ 550,000
Mungu atupe nini tena? Au robo tupewe Mamelod Sundown tukakunje Bilion 2 kasoro za nusu Fainali?
Source Prize money for CAF competitions effective 2017
Natamani tupewe mamelod au horoya, hawa tunawamudu vizuri sana.
Anajipendekeza uyo mnaenda na nani labda lipuli tutaenda nao sio washabiki wa vyura wanakera Yaani wanakera tz nzima wana maneno kama wadada na kujifanya wachambuzi,mara hooo yaani Mungu anisamehe ila sipendagi mpira wa mdomonKameze wembe Uchungu unaokusumbua peleka leba ukajifungue.
Unaacha kuishangilia timu yako na wanapaluhengo unaishahadia Simba.
Binti mdogo kaolewa Iringa na binti mkubwa kaolewa kwa Mkapa na harusi zote zimejibu.
Vigelegele vinaendelea.
Ohh hawaingii makundi mara tayari
Ohh watakuwa wa mwisho
Mara wametinga robo fainali
Doomsayers hawachoki wala hawana chembe chembe za aibu.
Eti "tunakwenda" unakwenda na nani wewe mlugaluga. Chura hayupo kwenye mashindano.
Au mume katakata mnajirudisha taratibu?
kwenye hiyo goal difference inatoka picha ya udhaifu wa ulinzi.simba ndiyo timu iliyofungwa magoli mengi yani ikiwa na goal difference -7 ila imevuka, je nikipi bora sasa? nadhani jibu ni kuvuka.
Mungu azidi kusimamia vilabu vyetu vya nyumbani viweze kusonga mbele zaidi na zaidi maana mafanikio yao ni mafanikio ya taifa maana wachezaji wakipata pesa Tanzania imepata , Taifa limepat pia Taifa linapata heshima.
Mungu bariki Tanzania,
Mungu bariki Simba
Mnajidanganya Sana nyie hivi mnawajua mamelod kwa hatua hii Simba Hana hafadhali kama bado mnategemea ngekewaHakika mkuu,hawa wetu. Shida ipo kwa Mazembe na mwenzie Esperance wale ni hatari
CCM inaiponza yanga sanaMimi ni Yanga, lakini walipofikia Simba inabidi tuwapongeze....Wana kamati nzuri ya ushindi, inayofanya kazi kwa weledi...Nadhani kamati yao ina dhamira ya kweli kuhakikisha Simba inashinda...Hii ni tofauti na kamati za Yanga ambazo hujazwa watu wenye midomo, majivuno na sifa...Ndiyo maana kwa Yanga wanaoteuliwa kuna wengine hujitoa haraka kwenye kamati hizo kwa kuwa kuna umimi mwingi...nawapongeza Simba kwa kweli....lakini nawapa tahadhari, kwani nafahamu fika kinachofanyika, wawe makini na baadhi ya mbinu chafu kwani ipo siku zitagundulika na kuwa fedheha siyo kwa Simba tu bali hata kwa nchi...kila la kheri Simba...ombeeni mpangiwe Mamelodi Sundowns kwani kwa maoni yangu ndiyo ambayo ni afadhali ...na Simba waombee mchezo wa kwanza uwe ugenini...
Huu ndio mchanganuo wa prizes mpya za CAF kuanzia 2017-2020 kwa CAF Champions. Baada ya kukunja mabilioni kwenye hatua ya makundi,sasa Mnyama wenu tumekunja tena USD 650,000 sawa na takribani TZS. 1,560,000,000
Champions: US$ 2.5 million
Runners-up: US$ 1.25 million
Semi-finalists: US$ 800,000
Quarter-finalists: US$ 650,000
3rd in group stage: US$ 550,000
4th in group stage: US$ 550,000
Mungu atupe nini tena? Au robo tupewe Mamelod Sundown tukakunje Bilion 2 kasoro za nusu Fainali?
Source Prize money for CAF competitions effective 2017
Hiyo ni nusu ya thamani.Thamani ya club yenu ni only 20b kumbe zawadi za CAF zinawakaribia thamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Au Lipuli.
Sent using JamiiMmechanga pesa za mihogo kama chakula cha wachezaji?Thamani ya club yenu ni only 20b kumbe zawadi za CAF zinawakaribia thamani.
Sent using [URL=http://r.tapatalk.com/byo?rid=77694]Jamii Forums mobile app
Mmekimbia deni la hoteli Iringa baada ya kuchapwa kimoko.[/URL]