Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Tusiandikie mate na wino umejaa tele, wakati huo najua wewe utakua ama Esperance au Wydad Cassablanca au TP MazembeHahahaaa. Utakuja kuyakimbia maneno yako Ses.
Kikosi kipana, this is SimbaaaaaaNawaona tu na jana kama sio Kocha wenu kujiongeza na kuamua kuwaingiza kina Kagere na Niyonzima sidhani kama mngepata matokeo.
Kwanini unateseka?Hizo ndizo IQ zenu mnapumbazwa na ushindi mliokuwa hamuutarajii acha upuuzi ww kwa kipi simba ilichonacho hadi kufika final pungazeze kweli. ππ
Siteseki Mr ila kwa nn mnajihadaa mchana kweupe?
Labda ndoo ya maviMtani kiuhalisia hiyo ni ndoto kubwa, kama ninavyosema.
Hapa tulipofika ni zaidi ya tulivyotegemea, ndiyo maana tuko tayari kwa lolote.
Lakini mpira una maajabu yake (we are banking on those miracles) na unaweza shangaa ndoo inatua bongo.
Naunga mkono hoja mkipewa Horoya au Mamelodi. Siungi mkono kuchukua ubingwa mwakani au mwaka keshokutwa kwa uwekezaji huu mlionao.Nusu tunaweza kufika tukipewa Horoya au Mamelod ila ubingwa mkuu tusubiri mwakani
watu wakweli kama nyinyi wamebaki wachache sana dunia hiiBado Sana inabidi tucheze robo Kama miaka miwili mfululizo,Nusu miaka miwili mfululizo na ndio tuchukue kombe labda 2024 au 2025 tukiwa na mwendelezo huu mzuri ndio tunaweza kuwa mabingwa.....labda bahati itokee ndio tunaweza tukapita short cut
Sent using Jamii Forums mobile app
sema mpira unamaajabu yake ujueSimba akiwa bingwa nitaamini uchawi Upo na kuanzia siku hiyo nitakuwa muumini Mkuu Wa uchawi na ulozi.
Kuanzia siku hiyo nitatembea kwa miguu kutokea chalinze mpaka Kariakoo makao makuu ya wana msimbazi kuwaomba samahani wanasimba.
Sent using Jamii Forums mobile app