Simba kuwa mabingwa wa champions league Afrika

Simba kuwa mabingwa wa champions league Afrika

Nusu tunaweza kufika tukipewa Horoya au Mamelod ila ubingwa mkuu tusubiri mwakani
Naunga mkono hoja mkipewa Horoya au Mamelodi. Siungi mkono kuchukua ubingwa mwakani au mwaka keshokutwa kwa uwekezaji huu mlionao.
 
Bado Sana inabidi tucheze robo Kama miaka miwili mfululizo,Nusu miaka miwili mfululizo na ndio tuchukue kombe labda 2024 au 2025 tukiwa na mwendelezo huu mzuri ndio tunaweza kuwa mabingwa.....labda bahati itokee ndio tunaweza tukapita short cut

Sent using Jamii Forums mobile app
watu wakweli kama nyinyi wamebaki wachache sana dunia hii
 
Simba akiwa bingwa nitaamini uchawi Upo na kuanzia siku hiyo nitakuwa muumini Mkuu Wa uchawi na ulozi.


Kuanzia siku hiyo nitatembea kwa miguu kutokea chalinze mpaka Kariakoo makao makuu ya wana msimbazi kuwaomba samahani wanasimba.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom