Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 May 30, 2025 #21 Isanga family said: Refa Kepha Kayombo kibendera Tatu Malogo hapo Timu moja inakua na wachezaji 15... Click to expand... Halafu fourth official ni Japhet Smart! Hapo mashabiki watakuwa wanakenua tu. Maana wanakuwa na uhakika wa ushindi hata kwa kutumia kadi nyekundu kwa beki wa timu pinzani, huku ikiwa haina kosa.
Isanga family said: Refa Kepha Kayombo kibendera Tatu Malogo hapo Timu moja inakua na wachezaji 15... Click to expand... Halafu fourth official ni Japhet Smart! Hapo mashabiki watakuwa wanakenua tu. Maana wanakuwa na uhakika wa ushindi hata kwa kutumia kadi nyekundu kwa beki wa timu pinzani, huku ikiwa haina kosa.
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 16,074 Reaction score 27,490 May 30, 2025 #22 Hiyo tar 15 si mtacheza na bodi ya ligi
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 14,677 Reaction score 18,561 May 30, 2025 #23 Ilisemwa "Marefa wanajipanga wenyewe" Mwisho wa kunukuu
Mstahiki Mea JF-Expert Member Joined Jul 13, 2018 Posts 6,559 Reaction score 12,518 Jun 25, 2025 Thread starter #24