Mkuu hivi wewe unafuatilia vizuri jinsi Ndugai alivyowaumiza watanzania kwenye upitishaji wa sheria kandamizi kwa wanyonge? Unajua yeye ndiye aliyeshauri watanzania tutozwe tozo za simu, miamala na LUKU? Sasa mtu kama huyu anapoalikwa kuwa mgeni rasmi kwenye tukio muhimu kama hili wewe unaona sawa tu? Nasikitika sana.Yani kisa job ndugai kuwa mgeni rasmi ndiyo ususe kwenda uwanjani na kususa Hadi kuangalia TV? serious mkuu??
Hakuna shabiki kindakindaki wa Simba anayeweza kukusapoti huu upuuzi wako..Mpira siyo uadui,Mpira siyo uhasama,Mpira ndy mahali ambapo mnaweka Kando tofauti zenu kisha mnashangilia pamoja..umeniangusha sn mwanasimba mwenzangu
Yaani siku ya leo imeharibika mapema kabisa. Natamani siku hii iishe haraka ifike Jumatatu tuendelee na ratiba nyingine.Humanity nimuhimu sana
Huyu job hana ubinadamu kabisaa
Anahistoria mbaya kabisa
MO DEWJI Anahusika kusafisha uchafu wa job ndugai
Achana na siasa mkuu hii ni siku maalum ya kupunguza mawazo dunianiMkuu hivi wewe unafuatilia vizuri jinsi Ndugai alivyowaumiza watanzania kwenye upitishaji wa sheria kandamizi kwa wanyonge? Unajua yeye ndiye aliyeshauri watanzania tutozwe tozo za simu, miamala na LUKU? Sasa mtu kama huyu anapoalikwa kuwa mgeni rasmi kwenye tukio muhimu kama hili wewe unaona sawa tu? Nasikitika sana.
JPM alifanya zaidi ya hayo uliyoorodhesha hapo juu,lkn alishiriki ktk michezo na amekuwa mgeni rasmi Hadi kwenye Derby ya Simba na yanga..Nani alilalamika na kuhamasisha watu wasusie km hivi unavyofanya Kwa ndugai?..Mpira siyo uadui mkuu,tunaweka tofauti pembeni na kugonga cheers..tumimalizana na michezo tunarudiana kupamabana mambo ya tozo na Sheria kandamiziMkuu hivi wewe unafuatilia vizuri jinsi Ndugai alivyowaumiza watanzania kwenye upitishaji wa sheria kandamizi kwa wanyonge? Unajua yeye ndiye aliyeshauri watanzania tutozwe tozo za simu, miamala na LUKU? Sasa mtu kama huyu anapoalikwa kuwa mgeni rasmi kwenye tukio muhimu kama hili wewe unaona sawa tu? Nasikitika sana.
Yaani siku ya leo imeharibika mapema kabisa. Natamani siku hii iishe haraka ifike Jumatatu tuendelee na ratiba nyingine.
Ni kweli mkuu lakini huyo mgeni rasmi unae mtaka wewe na wengine hawamkubaliNi afadhali hata wasingealika mgeni yeyote kuliko kumualika Ndugai. Ovyo kabisa.
very stupid post. mambo ya kulazimisha imani za siasa kwenye michezo. upuuuzi mtupu. Halafu mwisho linasema eti Manara asingekubali. Kuna wajinga wanaamini Manara alikuwa mtu mkubwa sana Simba. Mtu ambaye hata kikao cha bodi hanusi anawezaje kufanya maamuzi ya club.Stupid post
Ombwe la Manara limeanza kuonekana mapema sana. Angekuwepo asingekubali mpuuzi huyu aalikwe kuwa mgeni rasmi. Si afadhali hata wangemualika Steve Nyerere awe mgeni rasmi. Ina maana walikosa watu kabisa? So sad😡😕Sijajua nini kipo nyuma ya pazia
Inakuwaje job ndugai mwenye mambo mengi ya hovyo, yakuudhi, kuumiza jamii na kufedhehesha taifa kapenya jukwaani
Nani kasuka mpango wa kumualika nakufanikisha?
Watanzania tunafedheheshwa sana.
Mkuu Simba ni klabu kubwa Afrika na duniani. Wewe kwanini unadhani Ndugai anafaa kuwa mgeni rasmi pamoja uchafu wake wote ule? Please explain briefly.very stupid post. mambo ya kulazimisha imani za siasa kwenye michezo. upuuuzi mtupu. Halafu mwisho linasema eti Manara asingekubali. Kuna wajinga wanaamini Manara alikuwa mtu mkubwa sana Simba. Mtu ambaye hata kikao cha bodi hanusi anawezaje kufanya maamuzi ya club.
Tumia akili kamanda
JPM alifanya zaidi ya hayo uliyoorodhesha hapo juu,lkn alishiriki ktk michezo na amekuwa mgeni rasmi Hadi kwenye Derby ya Simba na yanga..Nani alilalamika na kuhamasisha watu wasusie km hivi unavyofanya Kwa ndugai?..Mpira siyo uadui mkuu,tunaweka tofauti pembeni na kugonga cheers..tumimalizana na michezo tunarudiana kupamabana mambo ya tozo na Sheria kandamizi
Mimi sikusapoti
Haswaa mkuu tena umemsahau na Bi Hangaya je alifaa kuwa mgeni rasmi kwenye derby ya kaliakoo?JPM alifanya zaidi ya hayo uliyoorodhesha hapo juu,lkn alishiriki ktk michezo na amekuwa mgeni rasmi Hadi kwenye Derby ya Simba na yanga..Nani alilalamika na kuhamasisha watu wasusie km hivi unavyofanya Kwa ndugai?..Mpira siyo uadui mkuu,tunaweka tofauti pembeni na kugonga cheers..tumimalizana na michezo tunarudiana kupamabana mambo ya tozo na Sheria kandamizi
Mimi sikusapoti
angealikwa nani huko serikalini asiyeumiza watanzania? Taja mmoja,mambo ya siasa acheni kwenye siasaMkuu hivi wewe unafuatilia vizuri jinsi Ndugai alivyowaumiza watanzania kwenye upitishaji wa sheria kandamizi kwa wanyonge? Unajua yeye ndiye aliyeshauri watanzania tutozwe tozo za simu, miamala na LUKU? Sasa mtu kama huyu anapoalikwa kuwa mgeni rasmi kwenye tukio muhimu kama hili wewe unaona sawa tu? Nasikitika sana.