tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
- Thread starter
- #21
Mkuu hivi wewe unafuatilia vizuri jinsi Ndugai alivyowaumiza watanzania kwenye upitishaji wa sheria kandamizi kwa wanyonge? Unajua yeye ndiye aliyeshauri watanzania tutozwe tozo za simu, miamala na LUKU? Sasa mtu kama huyu anapoalikwa kuwa mgeni rasmi kwenye tukio muhimu kama hili wewe unaona sawa tu? Nasikitika sana.Yani kisa job ndugai kuwa mgeni rasmi ndiyo ususe kwenda uwanjani na kususa Hadi kuangalia TV? serious mkuu??
Hakuna shabiki kindakindaki wa Simba anayeweza kukusapoti huu upuuzi wako..Mpira siyo uadui,Mpira siyo uhasama,Mpira ndy mahali ambapo mnaweka Kando tofauti zenu kisha mnashangilia pamoja..umeniangusha sn mwanasimba mwenzangu