stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Bodi ya wakurugenzi ndiyo inapitisha bajeti ya usajiri, mfano Arsenal kuna kipindi Bodi ilitoa pesa nyingi za usajili lakini kocha akatumia pesa ndogo sana zingine zikabaki kwasababu babu wenga alikuwa hapendi kununua wachezaji wa bei kubwa, tofauti na Man city na Chelsea wao kocha akiitaji mchezaji tu Bodi kazi yake ni kuhakikisha mchezaji ana patikana.
pesa za usajili znatoka kwa mfadhili hata mashabiki wakiingia kwa mil 10 kila mmoja bado uendeshaji wa timu ni kazi ngumu, mashabiki hua tuna nadharia kwamba simba ni kubwa inaweza kujiendesha ila sio kwel, mpaka leo watu wanasema timu hizi mbili ni za wanachama lakini juzi tu apa battle ya mashabiki kuchangiana, japokua simba tulishinda ila ni kiasi gan kilipatikana? mil 100 hata kusajili haitoshi, hata kulipa tu mishahara kwa staff haitoshi, nguvu ya mashabiki na wanachama wa simba ni shilingi mil 100 na hio ni kwa promo za kufa mtu, sasa fikria hao ni mashabiki na wanachama wote wa simba wametoa mil 100 kwa kulazimishwa sana, mo anatoa kiasi gan kila mwaka kwa ajili ya uendeshaji wa timu? bil 3 kwa mwaka na bado timu inafanya vibaya unategemea nn?