changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo fatilia manchester united ndio utajua mpira unalipa au haulipi.
Fatilia pia Real Madrid Arsenal ya Asernal wenger ingawa hawakuchukua vikombe vingi lakini walikuwa wanatengeneza faida ya kutosha
Simba hao tu baada ya kuingia makundi wataingiza 1.5bl+ wwanashindwa kununua basi jipya la milioni300?
Garama za uendeshaji wa virabu vya simba na yanga ni kama milion 500×12 ni kama bilion 6 kwa mwezi....
Je Simba Mbet, Azam, Vunjabei na Mo wanashindwa kutoa hizo pesa? Wakati Mbet tuliambiwa ni Bilion 5+ kwa mwaka?
Lakini mfano mwaka juzi yanga alibakiza mpaka change kwenye mahesabu yake wakati hawakuwa na udhamini wa maana !!!!
Tukubali tu kwanza simba kuna tatizo kwa Sasa simba ndio yakukosa hata basi la kikosi kwa wakina Shabibi kweli?
Mwamed kachukua kiwanja chakeKwanza umefikia wapi ule ujenzi wa uwanja wa kumfuta babra machozi?