Simba kwa uwekezaji ule ni ya kukosa basi?


hujui mpira unaedendeshwaje, unaelezea kwa nadharia sana, timu zote unazoziona duniani ukitoa mdhamini basi lazima itetereke hata madrid unayoongelea wewe haiwezi kubalance mahesabu yake kwa kutegemea mapato ya timu peke yake.


- kuhusu mikataba ya mbet, iko ivi tuseme mkataba wetu ni wa miaka 10 kwa bil 10, basi hii hela haupewi yote kwa mkupuo wanaweza kusema tutakupa bila 1 kila mwaka as long ndan ya miaka 10 amemaliza bil 10, japokua ni nadra sana kua consitent hua wanaedesha kwa credit, at the end of the day ni jinsi biashara yao itakavoenda vizuri ndo watajua kiasi gan kitumike unaweza enda miaka 2 na hujapata chochote

- infact ishatokea simba ilishinda ligi na haikupewa ela yoyote, kurudi kwenye scenario yako ya machester naweza tu kukwambia ndo timu inaongoza kwa madeni duniani mpaka sasa yeye na madrid japokua wanajaza uwanja mechi zote na wana mikataba ya mabilioni ya pesa juu na mdhamini juu kama familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…