Simba kwahili tumefanya uzembe

Simba kwahili tumefanya uzembe

Nasikia simba wamemsajili Tshishimbi kama ni kweli mo ni zaidi ya mswahili hivi ni kweli tunamhitaji , na ni kweli tunataka kushindana na tp mazembe unaachaje mchezaji kama Shibob, Rashid Juma unasajili mtu ambaye ni majeruhi na mpira wake ni wa kawaida mo atoe bilioni 20 aache usajili wa ovyo
Kusajili anasajili MO au Mapama?
Timu ya Simba wanajifanya wa kisasa lkn waswahili kishenzi,mtu kama Mapama yy ndiye anasajili na utakuta anasajili ili mradi kuikomoa Yanga na sikufuata ushauri wa watalaam na wanampiga kweli MO.
 
Back
Top Bottom