Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 533
- 820
Mtoto wa kiume anakuja kwenye kadamnasi ya watu eti nahitaji maua yangu😂😂😂😂😂😂😂...Maua kwani wewe ni nyuki mkuu😅😅
Enewei kila la kheyri kwao
Njaa??Habari zenu..
Sina mengi na tabiri kuwa simba atashinda leo..
Wydad 1-simba 1...
Hii liwekeeni kumbukumbu baadae nahitaji maua yangu..
Dalili zote nishaonyeshwa na sitaki kukuambia aliyenionyesha.
Mimi ni shahiki wa yanga nadiliki kusema simba wanashinda..
Habari zenu..

Na iwe hivyo, Bila shaka una jicho la tatu hi ni wachache wenye uono huo.Habari zenu..
Sina mengi na tabiri kuwa simba atashinda leo..
Wydad 1-simba 1...
Hii liwekeeni kumbukumbu baadae nahitaji maua yangu..
Dalili zote nishaonyeshwa na sitaki kukuambia aliyenionyesha.
Mimi ni shahiki wa yanga nadiliki kusema simba wanashinda..
Makolo yashachanganyikiwa🤣🤣🤣Mtoto wa kiume anakuja kwenye kadamnasi ya watu eti nahitaji maua yangu😂😂😂😂😂😂😂...
😃Maua kwani wewe ni nyuki mkuu😅😅
Enewei kila la kheyri kwao
SawaMakolo yashachanganyikiwa🤣🤣🤣
Ndo hivyo hivyo hiyo pia ni kushinda ugeniniAsa Wydad 1 simba 1 ndio kushinda au sare? Labda urekebishe kauli yako kuwa Simba leo itafuzu.
Babu yangu unamjua??Babu yako shangali alikuwa coward na mtu mwenye roho mbaya
SawaNjaa??
Onyango yupo msijali atawashindisha Kama kawaida yake..🤣
Mbona kama wanaogopa?