SIMBA leo anashinda

SIMBA leo anashinda

Habari zenu..
Sina mengi na tabiri kuwa simba atashinda leo..
Wydad 1-simba 1...

Hii liwekeeni kumbukumbu baadae nahitaji maua yangu..

Dalili zote nishaonyeshwa na sitaki kukuambia aliyenionyesha.
Mimi ni shahiki wa yanga nadiliki kusema simba wanashinda..
Njaa??
 
Asa Wydad 1 simba 1 ndio kushinda au sare? Labda urekebishe kauli yako kuwa Simba leo itafuzu.
 
Habari zenu..
Sina mengi na tabiri kuwa simba atashinda leo..
Wydad 1-simba 1...

Hii liwekeeni kumbukumbu baadae nahitaji maua yangu..

Dalili zote nishaonyeshwa na sitaki kukuambia aliyenionyesha.
Mimi ni shahiki wa yanga nadiliki kusema simba wanashinda..
20230428_034249.jpg
 
Na iwe hivyo, Bila shaka una jicho la tatu hi ni wachache wenye uono huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo tutafia uwanjan mkuu nusu fainal tuione[emoji41]
Pia napend kutoa pongez kwak mkuu maan umeonesh uzalendo sio kam wala mihogo wengne.
#nguvu moja.
 
Back
Top Bottom