Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Walikuwa wanacheza na marehemu anakamata nafasi ya mwisho ligi daraja la piliWakimataifa jana walikuwa wanacheza mashindano gani?
Waandae kamati ya mapokezi ikae sehemu moja kupokea bwana zao PlatnumWalikuwa wanacheza na marehemu anakamata nafasi ya mwisho ligi daraja la pili
Nimewakuta kariakoo wanaprint banner ya kuwashangilia platnum mwaka na ramani yao ya afrika watabadilisha sana mabwanaWaandae kamati ya mapokezi ikae sehemu moja kupokea bwana zao Platnum
Ya tatu ya kubeba watu airportAkili za kubeti changanya na zako.Tatizo huna za kuchanganyia. Kubeti hakuitaji ushabiki.Vyura wa jangwani bhana akili yenu moja tu pengine mbili,ya kuvukia barabara ambayo hata punda anayo,na ya kufunga kamba za viatu.
Baikoko ni wale waliotengenezewa madera na GsmSimba hakuna timu pale,ni kikundi cha Baikoko na wakata viuno
Club ya Wazee hamna kituHT
Wamatopeni 0 - 0 KMC