Simba leo atapoteza mchezo wake dhidi ya KMC

Simba leo atapoteza mchezo wake dhidi ya KMC

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Habari!

Wamatopeni nilikuwa napenda kuwapa taarifa mapema lengo ni mjiandae kisaikolojia mapema maana mnaenda kukalia dhidi ya KMC.

Maana kwa mechi zenu hizi za nyuma mbeleko mbeleko leo hakutakuwa na mbeleko kwa vijana wa Kinondoni.

Ni hayo hakuna mengi mechi itaisha Simba 1 - 2 KMC.

Kila la kheri wamatopeni mkachukue kichapo chenu mida ya saa moja kamili ya leo.
 
Utabiri wangu mimi kama Kingunge wa hapa Sports Forum; Kinondoni Market Club 2 Vs Mikia sC

#sijawahi kufail katika hili.
 
Akili za kubeti changanya na zako.Tatizo huna za kuchanganyia. Kubeti hakuitaji ushabiki.Vyura wa jangwani bhana akili yenu moja tu pengine mbili,ya kuvukia barabara ambayo hata punda anayo,na ya kufunga kamba za viatu.
 
Ya tatu ya kubeba watu airport
 
Simba anamtafuna huyo KMC mapema tu, amepigwa Plateau itakuwa hao watoto. Simba Nguvu Moja Daima.
 
Back
Top Bottom