Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari!
Wamatopeni nilikuwa napenda kuwapa taarifa mapema lengo ni mjiandae kisaikolojia mapema maana mnaenda kukalia dhidi ya KMC.
Maana kwa mechi zenu hizi za nyuma mbeleko mbeleko leo hakutakuwa na mbeleko kwa vijana wa Kinondoni.
Ni hayo hakuna mengi mechi itaisha Simba 1 - 2 KMC.
Kila la kheri wamatopeni mkachukue kichapo chenu mida ya saa moja kamili ya leo.