Simba leo ikishinda natembea bila nguo na nipigwe Ban kwa kitendo hicho

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Ndiyo natembea bila nguo kifuani....watu waone manywele yote kifuani. Na kwa kitendo hicho nipigwe ban ya mwezi mzima kavu. Bila mbambamba.

Sioni Simba ya kushinda match ya leo na washambuliaji kama akina Ateba na Ahoua anabaki na goal anapiga nje....nlicheka sana. Mshambuliaji migulu baja.

Leo mnakandwa vizuri na mnakandika kisha mnarudi kuja cheza NBC ligi mnakuja tena kukandwa na Yanga mnashika nafasi ya pili. Na shirikisho nalo mnakutana na Yanga mnakandwa. Yanga inachukua makombe yote yaliyopo Tanzania. Hata ya kunywe Kimpumu au Komoni. Inabeba.

Nyie mtabaki huko huko kutamba kimataifa ila ndani humu msahau kabisa hamna team ya kushindana humu ndani na wachezaji wenu hao na viongozi wasiojua kujipanga kama sisi.

Yanga ni team ya wenye nchi. Simba hamwezi shindana nasi. Leo mnachapwa vizuri sana
 
Maneno ya kujifariji. Ni team ngumu sana.mpira wa sasa siyo wa kukariri. Sisi yanga tulitolewa na teams gani?zipo wapi kwa sasa?zote zilipigwa chini katika kundi letu.
. Ungeandika huu uzi kulenga Birika/Rs Berkane kuwa ni wagumu hapo ni sawa, ila siyo Stella...

. Na simba ikifungwa basi ni makosa ya kocha, kama alivyofanya undezi pala zenj

. Young African hamna timu pale, zaidi ya kutembeza bahasha kwa magoli-kipa wa timu pizani..
 
Huo ni uchizi.
Ndio maana tunawaambia ukishabikia sana simba na Yanga lazima Uwe Chizi
.
 
Ndiyo natembea bila nguo kifuani....watu waone manywele yote kifuani. Na kwa kitendo hicho nipigwe ban ya mwezi mzima kavu. Bila mbambamba.

Sioni Simba ya kushinda match ya leo na washambuliaji kama akina Ateba na Ahoua anabaki na goal anapiga nje....nlicheka sana. Mshambuliaji migulu baja.

Leo mnakandwa vizuri na mnakandika kisha mnarudi kuja cheza NBC ligi mnakuja tena kukandwa na Yanga mnashika nafasi ya pili. Na shirikisho nalo mnakutana na Yanga mnakandwa. Yanga inachukua makombe yote yaliyopo Tanzania. Hata ya kunywe Kimpumu au Komoni. Inabeba.

Nyie mtabaki huko huko kutamba kimataifa ila ndani humu msahau kabisa hamna team ya kushindana humu ndani na wachezaji wenu hao na viongozi wasiojua kujipanga kama sisi.

Yanga ni team ya wenye nchi. Simba hamwezi shindana nasi. Leo mnachapwa vizuri sana
toa "O"peramini hiyo ili wahuni tukukamie baada ya mechi
 
. Ungeandika huu uzi kulenga Birika/Rs Berkane kuwa ni wagumu hapo ni sawa, ila siyo Stella...

. Na simba ikifungwa basi ni makosa ya kocha, kama alivyofanya undezi pala zenj

. Young African hamna timu pale, zaidi ya kutembeza bahasha kwa magoli-kipa wa timu pizani..
Stella ni team nzuri nakuambia. Usianze tengeneza excuses.
 
Ndiyo natembea bila nguo kifuani....watu waone manywele yote kifuani. Na kwa kitendo hicho nipigwe ban ya mwezi mzima kavu. Bila mbambamba.

Sioni Simba ya kushinda match ya leo na washambuliaji kama akina Ateba na Ahoua anabaki na goal anapiga nje....nlicheka sana. Mshambuliaji migulu baja.

Leo mnakandwa vizuri na mnakandika kisha mnarudi kuja cheza NBC ligi mnakuja tena kukandwa na Yanga mnashika nafasi ya pili. Na shirikisho nalo mnakutana na Yanga mnakandwa. Yanga inachukua makombe yote yaliyopo Tanzania. Hata ya kunywe Kimpumu au Komoni. Inabeba.

Nyie mtabaki huko huko kutamba kimataifa ila ndani humu msahau kabisa hamna team ya kushindana humu ndani na wachezaji wenu hao na viongozi wasiojua kujipanga kama sisi.

Yanga ni team ya wenye nchi. Simba hamwezi shindana nasi. Leo mnachapwa vizuri sana

"Nyie mtabaki huko huko kutamba kimataifa" ila ndani humu msahau kabisa hamna team ya kushindana humu ndani na "wachezaji wenu hao na viongozi wasiojua kujipanga" kama sisi.
 
Kama unauhakika na matokeo si kabeti kwa muhindi upige mpunga mrefu kuliko kujitoa ufahamu huku jf?
 
Ukute na wewe kuna mtoto wa watu anakutegemea umuoe uwe baba wa wanae. Ni huzuni
 
Back
Top Bottom