Ni huzuni kwa kweli.Ukute na wewe kuna mtoto wa watu anakutegemea umuoe uwe baba wa wanae. Ni huzuni
Komoni,kempumuNdiyo natembea bila nguo kifuani....watu waone manywele yote kifuani. Na kwa kitendo hicho nipigwe ban ya mwezi mzima kavu. Bila mbambamba.
Sioni Simba ya kushinda match ya leo na washambuliaji kama akina Ateba na Ahoua anabaki na goal anapiga nje....nlicheka sana. Mshambuliaji migulu baja.
Leo mnakandwa vizuri na mnakandika kisha mnarudi kuja cheza NBC ligi mnakuja tena kukandwa na Yanga mnashika nafasi ya pili. Na shirikisho nalo mnakutana na Yanga mnakandwa. Yanga inachukua makombe yote yaliyopo Tanzania. Hata ya kunywe Kimpumu au Komoni. Inabeba.
Nyie mtabaki huko huko kutamba kimataifa ila ndani humu msahau kabisa hamna team ya kushindana humu ndani na wachezaji wenu hao na viongozi wasiojua kujipanga kama sisi.
Yanga ni team ya wenye nchi. Simba hamwezi shindana nasi. Leo mnachapwa vizuri sana
Kauli kama hiz huwa zinatolewa na vijana wanaokaaa kwa mashemeji zao 😀Natembea bila nguo...
Nitakunya hapa mpaka k,koo...
Taenda kwa mguu iringaa...
Na kauli zingine kama hizi inaweza kutupa picha wewe ni faza au baba wa watoto wa namna gani...
Yaaan kiufupi ni useless personKauli kama hiz huwa zinatolewa na vijana wanaokaaa kwa mashemeji zao 😀
Kukaa kifua wazi si uchi kwa wanaume. Mabondia huwa wanapigana kifua waziWewe unayependa kukaa uchi ndiye unslribisha kuliwa kwa nini usiseme Simba ikishinda unyolewe nywele umekimbilia kuvua nguo unafikiri wahuni watakuacha salama tafakari 🤣 .
Nipo hapa nmejaa teleMatokeo yakiwa kinyume usikimbie jukwaa
Wewe sema vizuri.. Simba akishinda au akipita?Ndiyo natembea bila nguo kifuani....watu waone manywele yote kifuani. Na kwa kitendo hicho nipigwe ban ya mwezi mzima kavu. Bila mbambamba.
Sioni Simba ya kushinda match ya leo na washambuliaji kama akina Ateba na Ahoua anabaki na goal anapiga nje....nlicheka sana. Mshambuliaji migulu baja.
Leo mnakandwa vizuri na mnakandika kisha mnarudi kuja cheza NBC ligi mnakuja tena kukandwa na Yanga mnashika nafasi ya pili. Na shirikisho nalo mnakutana na Yanga mnakandwa. Yanga inachukua makombe yote yaliyopo Tanzania. Hata ya kunywe Kimpumu au Komoni. Inabeba.
Nyie mtabaki huko huko kutamba kimataifa ila ndani humu msahau kabisa hamna team ya kushindana humu ndani na wachezaji wenu hao na viongozi wasiojua kujipanga kama sisi.
Yanga ni team ya wenye nchi. Simba hamwezi shindana nasi. Leo mnachapwa vizuri sana
Kwahiyo si tufanyaje. BAN INAKUHUSU!Angalizo. Simba haijashinda
🤣🤣🤣🤣🙏🤣🤣🤣🙏Angalizo. Simba haijashinda