Simba leo ikishinda natembea bila nguo na nipigwe Ban kwa kitendo hicho

Ndiyo natembea bila nguo kifuani....watu waone manywele yote kifuani. Na kwa kitendo hicho nipigwe ban ya mwezi mzima kavu. Bila mbambamba.

Sioni Simba ya kushinda match ya leo na washambuliaji kama akina Ateba na Ahoua anabaki na goal anapiga nje....nlicheka sana. Mshambuliaji migulu baja.

Leo mnakandwa vizuri na mnakandika kisha mnarudi kuja cheza NBC ligi mnakuja tena kukandwa na Yanga mnashika nafasi ya pili. Na shirikisho nalo mnakutana na Yanga mnakandwa. Yanga inachukua makombe yote yaliyopo Tanzania. Hata ya kunywe Kimpumu au Komoni. Inabeba.

Nyie mtabaki huko huko kutamba kimataifa ila ndani humu msahau kabisa hamna team ya kushindana humu ndani na wachezaji wenu hao na viongozi wasiojua kujipanga kama sisi.

Yanga ni team ya wenye nchi. Simba hamwezi shindana nasi. Leo mnachapwa vizuri sana
Wapumbavu ni wengi sana humu
 
Haya tumeshinda mkuu fanya ahadi yako
 
Umeshasaula tayari wajuba waje na wese?
 
Admin embu tekeleza jambo kwa huyu jamaa,ahadi ni deni.
 
Njoo kinyume nyume na uwe umepakwa kabisa. Njoo huku umeinama unarudi kinyume nyume
Mtoto umeutaka mtoto umeutaka lazime uwape wahuni,huwezi kuwavulia wanaume nguo wakuache lazima wakupe kile roho yako inapenda
 
Back
Top Bottom