Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Maneno ya kujifariji. Ni team ngumu sana.mpira wa sasa siyo wa kukariri. Sisi yanga tulitolewa na teams gani?zipo wapi kwa sasa?zote zilipigwa chini katika kundi letu.Stella siyo mechi ngumu, wakishinda tutakufungia na Komeo Lachuma mwaka mzima. 🙂 🙂
. Ungeandika huu uzi kulenga Birika/Rs Berkane kuwa ni wagumu hapo ni sawa, ila siyo Stella...Maneno ya kujifariji. Ni team ngumu sana.mpira wa sasa siyo wa kukariri. Sisi yanga tulitolewa na teams gani?zipo wapi kwa sasa?zote zilipigwa chini katika kundi letu.
toa "O"peramini hiyo ili wahuni tukukamie baada ya mechiNdiyo natembea bila nguo kifuani....watu waone manywele yote kifuani. Na kwa kitendo hicho nipigwe ban ya mwezi mzima kavu. Bila mbambamba.
Sioni Simba ya kushinda match ya leo na washambuliaji kama akina Ateba na Ahoua anabaki na goal anapiga nje....nlicheka sana. Mshambuliaji migulu baja.
Leo mnakandwa vizuri na mnakandika kisha mnarudi kuja cheza NBC ligi mnakuja tena kukandwa na Yanga mnashika nafasi ya pili. Na shirikisho nalo mnakutana na Yanga mnakandwa. Yanga inachukua makombe yote yaliyopo Tanzania. Hata ya kunywe Kimpumu au Komoni. Inabeba.
Nyie mtabaki huko huko kutamba kimataifa ila ndani humu msahau kabisa hamna team ya kushindana humu ndani na wachezaji wenu hao na viongozi wasiojua kujipanga kama sisi.
Yanga ni team ya wenye nchi. Simba hamwezi shindana nasi. Leo mnachapwa vizuri sana
Mwenyewe unajiona ndo mjanja kumbe ndezi tu ukiokota okota maneno kijiweni unaleta kwa watu wenye akilitoa "O"peramini hiyo ili wahuni tukukamie baada ya mechi
Kuna kitu umeficha hapo. Weka ahadi ya matokeo yote matatu ikiwemo sareSioni Simba ya kushinda match ya leo
Leo mnakandwa vizuri na mnakandika
Stella ni team nzuri nakuambia. Usianze tengeneza excuses.. Ungeandika huu uzi kulenga Birika/Rs Berkane kuwa ni wagumu hapo ni sawa, ila siyo Stella...
. Na simba ikifungwa basi ni makosa ya kocha, kama alivyofanya undezi pala zenj
. Young African hamna timu pale, zaidi ya kutembeza bahasha kwa magoli-kipa wa timu pizani..
Ndiyo natembea bila nguo kifuani....watu waone manywele yote kifuani. Na kwa kitendo hicho nipigwe ban ya mwezi mzima kavu. Bila mbambamba.