Simba leo ikishinda natembea bila nguo na nipigwe Ban kwa kitendo hicho

Nafasi ya simba kutoboa leo ni ndogo mno. Iko wazi kuwa mwendo wameumaliza! Watakufa kiume!
 
Sina timu ninayoshabikia Tanzania.

Ila Simba ikishinda kama unajijua una chura nidai jezi
 
Komoni,kempumu
 
Natembea bila nguo...
Nitakunya hapa mpaka k,koo...
Taenda kwa mguu iringaa...

Na kauli zingine kama hizi inaweza kutupa picha wewe ni faza au baba wa watoto wa namna gani...
Kauli kama hiz huwa zinatolewa na vijana wanaokaaa kwa mashemeji zao πŸ˜€
 
Wewe unayependa kukaa uchi ndiye unslribisha kuliwa kwa nini usiseme Simba ikishinda unyolewe nywele umekimbilia kuvua nguo unafikiri wahuni watakuacha salama tafakari 🀣 .
Kukaa kifua wazi si uchi kwa wanaume. Mabondia huwa wanapigana kifua wazi
 
Wewe sema vizuri.. Simba akishinda au akipita?
Tunaomba uwe specific, kisha utupe na location tuje kukuvua nguo vizuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…