Simba leo mmetia aibu kuomba viatu kwa wachezaji wa Sevilla

Du ndo shida ya kushabikia mpira ukubwani. Tabu sana
 
ndicho Mlichobakiza hicho.
Si account za bank Wala za simu zote zinasoma 0 balance.
Viongozi wenu wameamua kuwaletea mchango "MKUBWA KULIKO"
Siku hyo mtakamuliwa hadi nauli.
By the way ALIYE NACHO UONGEZEWA.
yanga kaongezewa nini?
pikipiki aka bodaboda fc
 
Ndio Mwinyi.. nenda pale jangwani kawaulize watakuambia ni nani?


Tatizo la Jangwani ukienda hakuna mtu kwani kila mmoja yuko mitaani anatembeza bakuli. Hujuwi mgogo nani wala mchezaji wa Yanga nani. Yaani mpaka Mze Akilimali naye anatembeza bakuli siku hizi.
 
Tatizo la Jangwani ukienda hakuna mtu kwani kila mmoja yuko mitaani anatembeza bakuli. Hujuwi mgogo nani wala mchezaji wa Yanga nani. Yaani mpaka Mze Akilimali naye anatembeza bakuli siku hizi.
Ngoja watembeze.. msimu ujao waje vzr
 
Just kama kumbu kumbu tu, sio kwamba wanaomba kisa umaskini.

Wakati mwingine tutumie vichwa vyetu kureason not otherwise!
Gaucho aliondoka na boxer tuu kule Mexico mechi yake ya mwisho, watu wengi ni mamluki katika mchezo huu pendwa...
Mimi si shabiki wa Simba ila ile ni kawaida sana,
 
Pole sana,
Chief huyo ni Gaucho (sio nobody wa Sevilla), ukitaja wachezaji kumi bora wa soka wa muda wote hakosekani kwenye hiyo list. Chochote alichovaa Gaucho ni souvenir ni historia duniani. Sio nobody from Sevilla. Aibu yenu
 
Tatizo yanga ni Wageni wa kucheza na timu zenye wachezaji nyota wa nje

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…