Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize zahera msimu huu amepata kombe gani?Jana mmepata viatù pair ngapi?
Wenzenu wameweka kumbukumbu we unapi Soga humu.. Hv Zahera amewaambia nini kutoka kapa mwaka huu?
Ndio Mwinyi.. nenda pale jangwani kawaulize watakuambia ni nani?Zahera ndiyo nani?
Baada ya mpira kuisha leo wachezaji wa Simba wameonekana wakiomba viatu kwa kubembeleza kwa wachezaji wa Sevilla.
Simba ni klabu inayojinasibu kama klabu tajiri Tanzania na imejitosheleza lakini ajabu wachezaji wao wamekuwa ombaomba wa viatu.
Sasa uwekezaji wa Mo uko wapi ikiwa Wachezaji wenu wanakuwa ombaomba tena hadharani kwenye vyombo vya habari vya kimataifa huku sehemu kubwa ya dunia ikishuhudia.
Simba ituombe radhi watanzania kwa aibu hii.......
pikipiki aka bodaboda fcndicho Mlichobakiza hicho.
Si account za bank Wala za simu zote zinasoma 0 balance.
Viongozi wenu wameamua kuwaletea mchango "MKUBWA KULIKO"
Siku hyo mtakamuliwa hadi nauli.
By the way ALIYE NACHO UONGEZEWA.
yanga kaongezewa nini?
Roho zinawauma sana mnatamani hata huyo Mo muazimishwe kwa muda [emoji1]Jezi kawaida ila viatu ndio naona leo, hii inaonyesha Tajiri ni Mo ila simba ni maskini tu.
Ndio Mwinyi.. nenda pale jangwani kawaulize watakuambia ni nani?
Ngoja watembeze.. msimu ujao waje vzrTatizo la Jangwani ukienda hakuna mtu kwani kila mmoja yuko mitaani anatembeza bakuli. Hujuwi mgogo nani wala mchezaji wa Yanga nani. Yaani mpaka Mze Akilimali naye anatembeza bakuli siku hizi.
Gaucho aliondoka na boxer tuu kule Mexico mechi yake ya mwisho, watu wengi ni mamluki katika mchezo huu pendwa...Just kama kumbu kumbu tu, sio kwamba wanaomba kisa umaskini.
Wakati mwingine tutumie vichwa vyetu kureason not otherwise!
Chief huyo ni Gaucho (sio nobody wa Sevilla), ukitaja wachezaji kumi bora wa soka wa muda wote hakosekani kwenye hiyo list. Chochote alichovaa Gaucho ni souvenir ni historia duniani. Sio nobody from Sevilla. Aibu yenuNatumai tutajifunza kitu hapaView attachment 1107693
Chief huyo ni Gaucho (sio nobody wa Sevilla), ukitaja wachezaji kumi bora wa soka wa muda wote hakosekani kwenye hiyo list. Chochote alichovaa Gaucho ni souvenir ni historia duniani. Sio nobody from Sevilla. Aibu yenu