Hijo de puta. You are a son of whore. Come mierdaWeka picha mtu akipewa chupi kama haipo wewe ni mtto wa malaya
Weka picha kama hauna picha wewe na ninja Yule mzanzibar wote ni wake zanguHijo de puta. You are a son of whore. Come mierda
Ulishawahi ona wapi team yenye viongozi wenye ubongo wanaendesha team Kwa kuchagishana kama msiba?Wanaochangia buku Yanga ni wanayanga wenyewe na ndio jukumu lao kwakua team ni ya kwao... Yanga hawajaomba, wanawajibika katika majukumu yao na club yao... Ombaomba ni hao wanaomganda kila mpita njia,...
Simba watuombe radhi watanzania....
Najiuliza tu, hizi aibu tumeziona live hapa taifa, sasa inakuaje wanapoenda huko nje kuweka kambi!!!... Ndio maana wanaporudi hawaishi kujiwasha matakoni..
Kwani wewe na akili zako za kuvua boxer na kujisaidia,.. Unachukuliaje michango...?Ulishawahi ona wapi team yenye viongozi wenye ubongo wanaendesha team Kwa kuchagishana kama msiba?
Kwaiyo point yako yanga ni kanisa?Kwani wewe na akili zako za kuvua boxer na kujisaidia,.. Unachukuliaje michango...?
Michango ya kanisa huitwa sadaka na huchangwa na waumini wake...
Vitambulisho vya machinga na kodi unayotoa wewe mtanzania hujui kuwa ni michango?
Kuna tatizo gani Yanga kama taasisi inayobebwa na wanachama/wananchi wenyewe kuomba michango?
Kumbe alikuwa anacheza peku?.. yanga vyura kweliKiatu sio kumbukumbu, yule hana njumu za kuchezea mpira.....
Ni Sahihi.Just kama kumbu kumbu tu, sio kwamba wanaomba kisa umaskini.
Wakati mwingine tutumie vichwa vyetu kureason not otherwise!
Wenye aibu ni hawa..Jamaa wametia aibu sana.
Atakujibu futarindicho Mlichobakiza hicho.
Si account za bank Wala za simu zote zinasoma 0 balance.
Viongozi wenu wameamua kuwaletea mchango "MKUBWA KULIKO"
Siku hyo mtakamuliwa hadi nauli.
By the way ALIYE NACHO UONGEZEWA.
yanga kaongezewa nini?
Kawaida Sana mkuuBaada ya mpira kuisha leo wachezaji wa Simba wameonekana wakiomba viatu kwa kubembeleza kwa wachezaji wa Sevilla.
Simba ni klabu inayojinasibu kama klabu tajiri Tanzania na imejitosheleza lakini ajabu wachezaji wao wamekuwa ombaomba wa viatu.
Sasa uwekezaji wa Mo uko wapi ikiwa Wachezaji wenu wanakuwa ombaomba tena hadharani kwenye vyombo vya habari vya kimataifa huku sehemu kubwa ya dunia ikishuhudia.
Simba ituombe radhi watanzania kwa aibu hii.
Tushawazoea.. wanatafuta faraja ya kutoka kapa msimu mzimaVyura wanahisi wametengwa! Roho zinawauma! Yaan wanaelekea kuwa wachawi, kila kitu cha mnyama lazma waweke nongwa! Na bado!
Round hii mtakoma.. mmekuwa kama wadada wote.Walikuwa wanatambiana chumbani kila mmoja alichoomba, mwenye chupi, soksi jezi hadi kaptula .
Akiomba unavaa wewe au yeye?Huko nyumbani imagine wameomba nini kama sio chupi. Pathetic!
Bodaboda FC.
Uongozi mzima wa yanga ni ombaomba.. nakukumbusha changia timu yakoLeo ndio tumejua nani ombaomba kati ya Yanga na Simba
Simba hatuna acount ya ombaomba.. Mnajifariji vyura nyieSio kwa kuomba vile tena kwa kumganda mtu mpk anakubali kutoka uwanjani pekupeku... Kupeana t-shirts ni kawaida ishara ya urafiki na kukumbukana,... Ila hili la kumganda mtu akuvulie kiatu, what they mean? Wana shida ya viatu.... Aibu nimeona mimi..
Kabla ya Mo tulikuwa na uchumi kama wa lipuli?...Simba ni klabu Tajiri toka lini?
Kumbe utajiri wa Mo ndo utajiri wa simba?
Ni sawa na kusifia umeme uliopo kwa jirani yako wakati unatumia kibatari!
Akiondoka Mo tu hata lipuli itaizidi simba!
Iko wapi Yanga baada ya kuondoka Manji???
Huu umaskini tu, kumbukumbu hata ulaya wanafanya kwa kubadilishana jezi tena zina majina....sasa hicho kiatu umeona kina majina?Just kama kumbu kumbu tu, sio kwamba wanaomba kisa umaskini.
Wakati mwingine tutumie vichwa vyetu kureason not otherwise!