Simba leo mmetia aibu kuomba viatu kwa wachezaji wa Sevilla

Simba leo mmetia aibu kuomba viatu kwa wachezaji wa Sevilla

Wanaochangia buku Yanga ni wanayanga wenyewe na ndio jukumu lao kwakua team ni ya kwao... Yanga hawajaomba, wanawajibika katika majukumu yao na club yao... Ombaomba ni hao wanaomganda kila mpita njia,...
Simba watuombe radhi watanzania....
Najiuliza tu, hizi aibu tumeziona live hapa taifa, sasa inakuaje wanapoenda huko nje kuweka kambi!!!... Ndio maana wanaporudi hawaishi kujiwasha matakoni..
Ulishawahi ona wapi team yenye viongozi wenye ubongo wanaendesha team Kwa kuchagishana kama msiba?
 
Ulishawahi ona wapi team yenye viongozi wenye ubongo wanaendesha team Kwa kuchagishana kama msiba?
Kwani wewe na akili zako za kuvua boxer na kujisaidia,.. Unachukuliaje michango...?
Michango ya kanisa huitwa sadaka na huchangwa na waumini wake...
Vitambulisho vya machinga na kodi unayotoa wewe mtanzania hujui kuwa ni michango?
Kuna tatizo gani Yanga kama taasisi inayobebwa na wanachama/wananchi wenyewe kuomba michango?
 
Kwani wewe na akili zako za kuvua boxer na kujisaidia,.. Unachukuliaje michango...?
Michango ya kanisa huitwa sadaka na huchangwa na waumini wake...
Vitambulisho vya machinga na kodi unayotoa wewe mtanzania hujui kuwa ni michango?
Kuna tatizo gani Yanga kama taasisi inayobebwa na wanachama/wananchi wenyewe kuomba michango?
Kwaiyo point yako yanga ni kanisa?

Haya na mchungaji wenu ni Yule tito shoga ?
 
ndicho Mlichobakiza hicho.
Si account za bank Wala za simu zote zinasoma 0 balance.
Viongozi wenu wameamua kuwaletea mchango "MKUBWA KULIKO"
Siku hyo mtakamuliwa hadi nauli.
By the way ALIYE NACHO UONGEZEWA.
yanga kaongezewa nini?
Atakujibu futari
 
Baada ya mpira kuisha leo wachezaji wa Simba wameonekana wakiomba viatu kwa kubembeleza kwa wachezaji wa Sevilla.

Simba ni klabu inayojinasibu kama klabu tajiri Tanzania na imejitosheleza lakini ajabu wachezaji wao wamekuwa ombaomba wa viatu.

Sasa uwekezaji wa Mo uko wapi ikiwa Wachezaji wenu wanakuwa ombaomba tena hadharani kwenye vyombo vya habari vya kimataifa huku sehemu kubwa ya dunia ikishuhudia.


Simba ituombe radhi watanzania kwa aibu hii.
Kawaida Sana mkuu
IMG-20190524-WA0001.jpeg
 
Yanga ni taasisi kama taasisi zingine we mbumbumbu
 
Sio kwa kuomba vile tena kwa kumganda mtu mpk anakubali kutoka uwanjani pekupeku... Kupeana t-shirts ni kawaida ishara ya urafiki na kukumbukana,... Ila hili la kumganda mtu akuvulie kiatu, what they mean? Wana shida ya viatu.... Aibu nimeona mimi..
Simba hatuna acount ya ombaomba.. Mnajifariji vyura nyie
 
Simba ni klabu Tajiri toka lini?
Kumbe utajiri wa Mo ndo utajiri wa simba?
Ni sawa na kusifia umeme uliopo kwa jirani yako wakati unatumia kibatari!
Akiondoka Mo tu hata lipuli itaizidi simba!
Iko wapi Yanga baada ya kuondoka Manji???
Kabla ya Mo tulikuwa na uchumi kama wa lipuli?...

Yanga inaweza kusajili mchezaji toka lipuli.. Lakini Lipuli haiwezi kusajili kutoka yanga .
 
Just kama kumbu kumbu tu, sio kwamba wanaomba kisa umaskini.

Wakati mwingine tutumie vichwa vyetu kureason not otherwise!
Huu umaskini tu, kumbukumbu hata ulaya wanafanya kwa kubadilishana jezi tena zina majina....sasa hicho kiatu umeona kina majina?

Halafu Salamba anaambiwa akapewe kule ndani yeye anataka palepale maskin mchezaji kampeleka pekupeku kutoka uwanjani[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom