Sasa kama unajua Simba ni tofauti na Yanga we unaumia nini labda?Wanaochangia buku Yanga ni wanayanga wenyewe na ndio jukumu lao kwakua team ni ya kwao... Yanga hawajaomba, wanawajibika katika majukumu yao na club yao... Ombaomba ni hao wanaomganda kila mpita njia,...
Simba watuombe radhi watanzania....
Najiuliza tu, hizi aibu tumeziona live hapa taifa, sasa inakuaje wanapoenda huko nje kuweka kambi!!!... Ndio maana wanaporudi hawaishi kujiwasha matakoni..
Tshirt kawaida, sasa hiyo ya viatu umeona wapi tena hadharani....haaaa hii aibu ya karneIwe iwavyo weye ndo mshamba. Wachezaji hupeana hadi Tshirts zao kama kumbukumbu kuwa amewahi cheza na timu kubwa sio kwamba ati hawana viatu
Haya mambo wanayfanya wa AfricaKawaida Sana mkuuView attachment 1106176
Huyu jamaa kaniacha hoiKumbukumbu ya viatu na sio jezi tena... kubali jamaa hawana viatu.
Hela inaombwa ikiwemo nchi inaomba na kupewa misaada ila hii ya kuomba viatu ni KUBWA KULIKO[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]ndicho Mlichobakiza hicho.
Si account za bank Wala za simu zote zinasoma 0 balance.
Viongozi wenu wameamua kuwaletea mchango "MKUBWA KULIKO"
Siku hyo mtakamuliwa hadi nauli.
By the way ALIYE NACHO UONGEZEWA.
yanga kaongezewa nini?
Otherwise ni aibu kwa taifaJust kama kumbu kumbu tu, sio kwamba wanaomba kisa umaskini.
Wakati mwingine tutumie vichwa vyetu kureason not otherwise!
Ushasema wamepewa na mo kasema angalau wajiingizie kipato... Sasa uliza hiyo njumu bei ganiAhaa! Yaani wamepewa boda boda na marupurupu kibao wakose hela ya viatu? huenda wanataka viatu kama kumbukumbu tu!
rubbishJust kama kumbu kumbu tu, sio kwamba wanaomba kisa umaskini.
Wakati mwingine tutumie vichwa vyetu kureason not otherwise!
Atasema ni edit.. washamba utawajua,Kawaida Sana mkuuView attachment 1106176
Halafu aliyekwambia Dauda ni yanga nani?Vyura jifunzeni kwa chura mwenzenuView attachment 1106158
Mmeanza kuchangishana baada ya manji kusepa.. kumbe nyie ni taasisi ya namna hioYanga ni taasisi kama taasisi zingine we mbumbumbu
Yanga ni taasisi kama taasisi zingine we mbumbumbuKwaiyo point yako yanga ni kanisa?
Haya na mchungaji wenu ni Yule tito shoga ?
Simba hatuna acount ya ombaomba.. Mnajifariji vyura nyie
Kumbe GauchoBora simba kumbuka Casablanca wachezaji karibu wote waligombania viatu vya Gaucho leo unashangaa Salamba kuomba kiatu
Kama una akili kiasi cha kizibo cha soda ungeelewa kwamba wale waliofanya hawajitambui pamoja na wewe shabiki maandazi wa simba,... Aibu kwa taifa zima iliyosababishwa na wale mashoga wenu...Sasa kama unajua Simba ni tofauti na Yanga we unaumia nini labda?
Hajaomba Yanga ameomba Sevilla we unakwazwa nini?
Ulitaka aombe amejificha ili iweje?.. bora hata umeona Salamba kapewa nini.Huu umaskini tu, kumbukumbu hata ulaya wanafanya kwa kubadilishana jezi tena zina majina....sasa hicho kiatu umeona kina majina?
Halafu Salamba anaambiwa akapewe kule ndani yeye anataka palepale maskin mchezaji kampeleka pekupeku kutoka uwanjani[emoji23][emoji23]
Ulitaka aombe amejificha ili iweje?.. bora hata umeona Salamba kapewa nini.Huu umaskini tu, kumbukumbu hata ulaya wanafanya kwa kubadilishana jezi tena zina majina....sasa hicho kiatu umeona kina majina?
Halafu Salamba anaambiwa akapewe kule ndani yeye anataka palepale maskin mchezaji kampeleka pekupeku kutoka uwanjani[emoji23][emoji23]
Ulijua Yanga ni taasisi ya Aina ganiMmeanza kuchangishana baada ya manji kusepa.. kumbe nyie ni taasisi ya namna hio