Simba, mmewekewa mtego kutocheza NBC premier league kuanzia Oktoba hadi November, zindukeni

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Simba itapumzika kwa kipindi cha mwezi mmoja kucheza ligi ya bongo kuanzia oktoba 20 hadi November ili iweze kushiriki vyema kombe la Super League.

Hata hivyo Simba wawe makini sana kwani baada ya hapo watapangiwa ratiba ngumu sana ambayo itawafanya washindwe kupambana kupata matokeo, watakuwa wakicheza jmos, jumanne, ijumaa ili mradi tu bora liende, hapo wazee wa jangwani watakuwa washaongoza kwa pointi 10 huku sisi tumebaki kulalamikiana t.

Nawaapia mtapangiwa mechi mfululizo ili mshindwe kufanya vzr.Hili liangalieni
 
Yaani tutoke kupimana ubavu na kina Al Ahly, Mamelody, Wydad Kisha tuje tufungwe na Coastal Union au Ihefu?
 
Wewe jamaa una mawazo ya kijima sana
 
Unakuwaje mtego wakati hiyo ni ratiba itokanayo na mafanikio mliyoyafikia?
Kwamba timu nyingine za NBC PL zitakazo shiriki michuano ya CAF nazo zimetegwa na zile zisizoshiriki ndiyo zinaandaliwa kushinda?
Unachoshauri ni nini? Kwamba Simba ijitoe kushiriki Super league?
 
TFF ya Kiria na Kidao ni mali ya Simba Sports Club
 
Achana na huyo kilaza hiyo ID yake tu inatosha kumuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…