Simba mnanichanganya sasa na mchezaji mzungu wenu huyo

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
watu tunasubiri habazi za manzoki mara yanakuja haya tena, mzungu akifika estadio de manungu au estadio de nyankumbu primary schoool geita si atatoa machozi ya damu?

Huo muda wa mwalimu kumuona na kumpitisha ni hadi lini? manzoko hasaini tena? kama manzoki akisaini basi wa kumpisha huyu mtu naomba awe kanoute na ikiwezeakana kama kweli amazulu wanamtaka muuzeni haraka sana

mzungu.JPG
 
Mbona alikuja yule mbrazil kiungo mkabaji akapendwa, usimkatie tamaa mapema ambaye bado hujamuona.

Usiogope, Simba SC imeshakuwa timu kubwa, wachezaji tofauti kuomba/kuombewa na mawakala wao kuja kucheza Simba SC ni jambo la kawaida.
 
Jambo la aibu klabu kama Simba mbaka Sasa bado wanahangaika kutafuta mshambuliaji atakaye kwenda kusaidiana na Moses Phil.
Kuna Kila Dalili Simba anakwenda kushindana na Azam, Singida Big stars.
Kutakua na gap kubwa sana katiya Vinara wa ligi na timu hizi tatu.
 
nafasi si zimejaa? au manzoki hahitajiki tena? itachukua muda gani mwalimu kuridhika na kiwango chake maana ni kama yuko trial. tuanchotaka kwa sasa ni manzoki kwanza huyu kama atafaa basi aondoke kanoute
 
Nawaza aina ya miundombinu waliyonayo ulaya halafu nakuja kusikia kuna mzungu anakuja kucheza Tanzania kwenye viwanja kama Sokoine, Manungu, Jamhuri, Kirumba na the likes. Hapo achana na maslahi binafsi ya huyo mtemi.

Hebu ngoja ninywe maji glasi 2, nitaendelea kesho
 
Moses phiri alikua mfungaji wa pili kwa ubora alipotoka kwenye ligi yao
Sawa na mayele sisi ukimtoa phiri tuna mugalu ambaye ndani ya misimu miwili ana magoli 17
Yanga ukimtoa mayele mna nani???
Mwenye hizo takwimu?

Sasa kama jibu umepata (sidhani maana wapo wawili tu hapo kwenu)
Je huoni kwamba tupo makini kwa sababu tunatafuta mshambuliaji mwingine ukiwatoa hawa tunaowasajili???
 
Baada ya mechi ya tarehe 13 utaelewa Nini na maanisha.
 
nafasi si zimejaa? au manzoki hahitajiki tena? itachukua muda gani mwalimu kuridhika na kiwango chake maana ni kama yuko trial. tuanchotaka kwa sasa ni manzoki kwanza huyu kama atafaa basi aondoke kanoute
Taarifa za ujio wa huyo jamaa kwanza ni tetesi tu, haziko official, watu msiumize vichwa sana.

Kwa sasa Simba SC ni klabu kubwa lazima itumiwe na mawakala wengi kutangaza wachezaji wao.
 
Nawaza aina ya miundombinu waliyonayo ulaya halafu nakuja kusikia kuna mzungu anakuja kucheza Tanzania kwenye viwanja kama Sokoine, Manungu, Jamhuri, Kirumba na the likes. Hapo achana na maslahi binafsi ya huyo mtemi.

Hebu ngoja ninywe maji glasi 2, nitaendelea kesho
Wakina jaja, fraga, coutinho waliweza vipi
 
Jambo la aibu klabu kama Simba mbaka Sasa bado wanahangaika kutafuta mshambuliaji atakaye kwenda kusaidiana na Moses Phil.
Kuna Kila Dalili Simba anakwenda kushindana na Azam, Singida Big stars.
Kutakua na gap kubwa sana katiya Vinara wa ligi na timu hizi tatu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulia dawa ikuingie, na badoooo mbna msimu mzima ni kilio tyuuh. Hahaha

Byuti byuti.
 
watu tunasubiri habazi za manzoki mara yanakuja haya tena, mzungu akifika estadio de manungu au estadio de nyankumbu primary schoool geita si atatoa machozi ya damu?

Huo muda wa mwalimu kumuona na kumpitisha ni hadi lini? manzoko hasaini tena? kama manzoki akisaini basi wa kumpisha huyu mtu naomba awe kanoute na ikiwezeakana kama kweli amazulu wanamtaka muuzeni haraka sana

View attachment 2314731
Tarehe 13 inazidi kukaribia, halafu mpaka sasa mna striker mmoja tu, Kepteni John Bocco.
 
Taarifa za ujio wa huyo jamaa kwanza ni tetesi tu, haziko official, watu msiumize vichwa sana.

Kwa sasa Simba SC ni klabu kubwa lazima itumiwe na mawakala wengi kutangaza wachezaji wao.
watambulishe manzoki kwanza , tujue kabisa strikers main ni phiri na manzoki wakisaidiwa na kiyombo...huyu mzungu aje kama nyongeza tu
 
Nawaza aina ya miundombinu waliyonayo ulaya halafu nakuja kusikia kuna mzungu anakuja kucheza Tanzania kwenye viwanja kama Sokoine, Manungu, Jamhuri, Kirumba na the likes. Hapo achana na maslahi binafsi ya huyo mtemi.

Hebu ngoja ninywe maji glasi 2, nitaendelea kesho
Ivi serbia hakuna cha ndimu eeeeh
 
Back
Top Bottom