Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliishia wapi?Wakina jaja, fraga, coutinho waliweza vipi
Uwanjani wanacheza mastriker wangapi?Tarehe 13 inazidi kukaribia, halafu mpaka sasa mna striker mmoja tu, Kepteni John Bocco.
Pitch ya chandimu ya Serbia ni kama garden ya boss wenuIvi serbia hakuna cha ndimu eeeeh
Siasa za mpiraWaliishia wapi?
Ndio yatakayotokea kwa mzungu huyo atapigwa miba na Kibu mpaka ajute kujaSiasa za mpira
Ila fraga aliachwana simba sababu ya majeruhi tena aliumia pale kwa mkapa
Uyo mugalu umempa mkataba lini bwana CEO wa simba?Moses phiri alikua mfungaji wa pili kwa ubora alipotoka kwenye ligi yao
Sawa na mayele sisi ukimtoa phiri tuna mugalu ambaye ndani ya misimu miwili ana magoli 17
Yanga ukimtoa mayele mna nani???
Mwenye hizo takwimu?
Sasa kama jibu umepata (sidhani maana wapo wawili tu hapo kwenu)
Je huoni kwamba tupo makini kwa sababu tunatafuta mshambuliaji mwingine ukiwatoa hawa tunaowasajili???
huyu mzungu hata kama ni mshambuliaji mkali sana atalogwa hadi achanganyikiweKesho inaweza ikawa muendelezo ama mwisho wa kuangaika na Manzoki!
ulitarajia aongee nini na hakuna kauli official iliyotolewa ?Msemaji wa Vipers amesema Simba haijawahi kukaa mezani na wao kuhusu Manzoki.
Wao wanaona kwenye mitandao kama watu wengine na ameongezea kuwa Manzoki ana mkataba wa miaka miwili nakama kweli Simba wako Serious waende mezani waongee kwakua mpira ni biashara.
Hawa ndiyo UTOPWENGA😅😅😅tarehe 13 kuna nini? nilidhani watu wana focus na games za CAF kumbe upeo ni tarehe 13, agh
Mwenyekiti wa Simba ndugu Mangungu aliwahi kuulizwa kuhusu Manzoki alisema ni swala la Muda tu kumbe ata Mezani hawajawahi kukaa nauongozi wa Vipers.ulitarajia aongee nini na hakuna kauli official iliyotolewa ?
acha uongo wewe hela yote hiyo m bet wanaaitoa wapi? miaka 5 katoa bilions 5 ni billions moja kwa mwaka, wale wawakilishi wa TRA na BODI YA MICHEZO YA KUBATISHA waliokuwepo siku ile wamehongwa pesa nyingi watu wapandishe sifuri, we ushaona wapi mkataba unasainiwa kwenye jezi?Mwenyekiti wa Simba ndugu Mangungu aliwahi kuulizwa kuhusu Manzoki alisema ni swala la Muda tu kumbe ata Mezani hawajawahi kukaa nauongozi wa Vipers.
Tulipo waambia mkataba wa Simba na M-bet ni 12.5 b Kwa miaka 5 mkawa mnabisha.
Viongozi wa Simba ni Chupri tatizo ukweli uwa unakuja taratibu kuliko uongo.
Ni swala la muda tu kilakitu kitakua wazi.
Acha uongo, tumewazi pesa kwenye mkatabaacha uongo wewe hela yote hiyo m bet wanaaitoa wapi? miaka 5 katoa bilions 5 ni billions moja kwa mwaka, wale wawakilishi wa TRA na BODI YA MICHEZO YA KUBATISHA waliokuwepo siku ile wamehongwa pesa nyingi watu wapandishe sifuri, we ushaona wapi mkataba unasainiwa kwenye jezi?
Team inayoendeshwa kisasa kiuweledi na bila chuplichupli ni yanga sc tu
Mugalu ameachwa janaUyo mugalu umempa mkataba lini bwana CEO wa simba?
Umeisikia kauli ya manzoki mwenyewee???Msemaji wa Vipers amesema Simba haijawahi kukaa mezani na wao kuhusu Manzoki.
Wao wanaona kwenye mitandao kama watu wengine na ameongezea kuwa Manzoki ana mkataba wa miaka miwili nakama kweli Simba wako Serious waende mezani waongee kwakua mpira ni biashara.