njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
- Thread starter
- #41
malengo na matumainiya simba ilikuwa team kufika nusu fainali afrika, na hakuna nayemchukia kibu d ila msimu huu ajipange na ajifunze kuwa na maamuzi ya haraka ashikapo mpira
Mugalu ameachwa jana
Akiwa amebaki phiri
Bocco na kyombo ambao wote watatu ndani ya mechi 46 wana goli nyinngi kuliko bwana mkubwa hapo
Haya naomba majibu
Simba tupo vizuri mpaka mchezaji akiperform kawaida anaonekana mbovu
K.dennis alimaliza ana goli nane last season
Sawa na fei toto ila fei anaimbwa sisi kibu tunamchukia
Levels bruh levels