njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
nafasi si zimejaa? au manzoki hahitajiki tena? itachukua muda gani mwalimu kuridhika na kiwango chake maana ni kama yuko trial. tuanchotaka kwa sasa ni manzoki kwanza huyu kama atafaa basi aondoke kanouteMbona alikuja yule mbrazil kiungo mkabaji akapendwa, usimkatie tamaa mapema ambaye bado hujamuona.
Usiogope, Simba SC imeshakuwa timu kubwa, wachezaji tofauti kuomba/kuombewa na mawakala wao kuja kucheza Simba SC ni jambo la kawaida.
Moses phiri alikua mfungaji wa pili kwa ubora alipotoka kwenye ligi yaoJambo la aibu klabu kama Simba mbaka Sasa bado wanahangaika kutafuta mshambuliaji atakaye kwenda kusaidiana na Moses Phil.
Kuna Kila Dalili Simba anakwenda kushindana na Azam, Singida Big stars.
Kutakua na gap kubwa sana katiya Vinara wa ligi na timu hizi tatu.
Baada ya mechi ya tarehe 13 utaelewa Nini na maanisha.Moses phiri alikua mfungaji wa pili kwa ubora alipotoka kwenye ligi yao
Sawa na mayele sisi ukimtoa phiri tuna mugalu ambaye ndani ya misimu miwili ana magoli 17
Yanga ukimtoa mayele mna nani???
Mwenye hizo takwimu?
Sasa kama jibu umepata (sidhani maana wapo wawili tu hapo kwenu)
Je huoni kwamba tupo makini kwa sababu tunatafuta mshambuliaji mwingine ukiwatoa hawa tunaowasajili???
Taarifa za ujio wa huyo jamaa kwanza ni tetesi tu, haziko official, watu msiumize vichwa sana.nafasi si zimejaa? au manzoki hahitajiki tena? itachukua muda gani mwalimu kuridhika na kiwango chake maana ni kama yuko trial. tuanchotaka kwa sasa ni manzoki kwanza huyu kama atafaa basi aondoke kanoute
JidanganyeJambo la aibu klabu kama Simba mbaka Sasa bado wanahangaika kutafuta mshambuliaji atakaye kwenda kusaidiana na Moses Phil.
Kuna Kila Dalili Simba anakwenda kushindana na Azam, Singida Big stars.
Kutakua na gap kubwa sana katiya Vinara wa ligi na timu hizi tatu.
Wakina jaja, fraga, coutinho waliweza vipiNawaza aina ya miundombinu waliyonayo ulaya halafu nakuja kusikia kuna mzungu anakuja kucheza Tanzania kwenye viwanja kama Sokoine, Manungu, Jamhuri, Kirumba na the likes. Hapo achana na maslahi binafsi ya huyo mtemi.
Hebu ngoja ninywe maji glasi 2, nitaendelea kesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulia dawa ikuingie, na badoooo mbna msimu mzima ni kilio tyuuh. HahahaJambo la aibu klabu kama Simba mbaka Sasa bado wanahangaika kutafuta mshambuliaji atakaye kwenda kusaidiana na Moses Phil.
Kuna Kila Dalili Simba anakwenda kushindana na Azam, Singida Big stars.
Kutakua na gap kubwa sana katiya Vinara wa ligi na timu hizi tatu.
Tarehe 13 inazidi kukaribia, halafu mpaka sasa mna striker mmoja tu, Kepteni John Bocco.watu tunasubiri habazi za manzoki mara yanakuja haya tena, mzungu akifika estadio de manungu au estadio de nyankumbu primary schoool geita si atatoa machozi ya damu?
Huo muda wa mwalimu kumuona na kumpitisha ni hadi lini? manzoko hasaini tena? kama manzoki akisaini basi wa kumpisha huyu mtu naomba awe kanoute na ikiwezeakana kama kweli amazulu wanamtaka muuzeni haraka sana
View attachment 2314731
tarehe 13 kuna nini? nilidhani watu wana focus na games za CAF kumbe upeo ni tarehe 13, aghBaada ya mechi ya tarehe 13 utaelewa Nini na maanisha.
upeo wa wajinga umegota tarehe 13 ,ndiyo mwisho wa malengo yaoTarehe 13 inazidi kukaribia, halafu mpaka sasa mna striker mmoja tu, Kepteni John Bocco.
watambulishe manzoki kwanza , tujue kabisa strikers main ni phiri na manzoki wakisaidiwa na kiyombo...huyu mzungu aje kama nyongeza tuTaarifa za ujio wa huyo jamaa kwanza ni tetesi tu, haziko official, watu msiumize vichwa sana.
Kwa sasa Simba SC ni klabu kubwa lazima itumiwe na mawakala wengi kutangaza wachezaji wao.
Ivi serbia hakuna cha ndimu eeeehNawaza aina ya miundombinu waliyonayo ulaya halafu nakuja kusikia kuna mzungu anakuja kucheza Tanzania kwenye viwanja kama Sokoine, Manungu, Jamhuri, Kirumba na the likes. Hapo achana na maslahi binafsi ya huyo mtemi.
Hebu ngoja ninywe maji glasi 2, nitaendelea kesho