njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
- Thread starter
-
- #41
Mugalu ameachwa jana
Akiwa amebaki phiri
Bocco na kyombo ambao wote watatu ndani ya mechi 46 wana goli nyinngi kuliko bwana mkubwa hapo
Haya naomba majibu
Simba tupo vizuri mpaka mchezaji akiperform kawaida anaonekana mbovu
K.dennis alimaliza ana goli nane last season
Sawa na fei toto ila fei anaimbwa sisi kibu tunamchukia
Levels bruh levels
Sawa vyemamalengo na matumainiya simba ilikuwa team kufika nusu fainali afrika, na hakuna nayemchukia kibu d ila msimu huu ajipange na ajifunze kuwa na maamuzi ya haraka ashikapo mpira
Maamuzi ya haraka yapi na mtu anayecheza nafasi ya karibu zaidi na goli kuliko yeye amemzidi assist moja tuSawa vyema
Fei toto ajifunze nini?
Maana kwa nnavyoelewa kiungo (no 10) na mtu anayetokea pembeni huku akiwepo namba tisa ambaye siyo mzururaji uwanjani kama mugalu bocco and the likes unakua umejitahidi kweli kufikisha goli nane maana chances nyingi zitapelekwa kwa yule mtu aliyepo mbele muda wote tofauti na timu inayecheza na false nine
Kwa takwimu nlizonazo ni kwamba fei toto kamzidi assist moja kibu dennis... 5 kwa 4 vipi unampa ushauri gani namba kumi ambaye anakaribiwa takwimu na winga aliyeumia katikati ya msimu na kucheza dakika chache zaidi?
Kwa mantiki hii mimi sioni kama kibu ameharibu msimu huu
Kweli timu kubwa ya MAMBUMBUMBU ya bunjuMbona alikuja yule mbrazil kiungo mkabaji akapendwa, usimkatie tamaa mapema ambaye bado hujamuona.
Usiogope, Simba SC imeshakuwa timu kubwa, wachezaji tofauti kuomba/kuombewa na mawakala wao kuja kucheza Simba SC ni jambo la kawaida.