Simba mnashibisha familia ya jirani wakati ya kwenu inalala njaa!

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Ni ajabu na kweli mashabiki na wanachama wa simba pamoja na viongozi wao wamebaki kuiongelea yanga muda wote na kusahau kabisa ya kuwa wanaitaji kuijenga timu yao ambayo imetoka kapa misimu 2 mfululizo,

Wamesahau kuwa wanaowasema wanaendelea na wataendelea kubeba makombe na kuvaa medali kwa kuwa wanao viongozi bora na makini wanaofanyya mipango yao bila presha ya aina yoyote ile,

Wanasahau wenzao wametuliza vichwa kuwashusha wachezaji wakubwa aina ya wakina makabi lilepo kutoka Al hilal na wao wamekimbilia kusainisha mchezaji kutoka ligi dhaifu ya Rwanda, kwa mwenye kumbukumbu nadhani anamkumbuka michael sarpong aliyesajiliwa na yanga kutoka ligi ya Rwanda,alisajiliwa akiwa top scorer na magoli yake 17 na asist 5 but alipofika bongo kila mwenye kumbu kumbu anajua alichokifanya!

Kwa miaka ya karibuni ligi ya Rwanda imeshuka sana akuna ushindani wa kusema unaweza kumjenga mchezaji kukabiliana na ligi ngumu ya Tanzania na ata kuwa msaada kwenye mechi za kimataifa!

Kwa maana iyo bado kauli za wakina Try again na wenzake kuwa inakuja simba mpya yenye nguvu zinaendelea kudhihirisha msamiati wa mzee Rage!

Ni muda sahihi kwenu kupaza sauti na kuushauri uongozi wenu kuacha propaganda na sio kukomaa na mambo ya yanga ambao wameshawaacha mbali kwa kuwa na timu bora, viongozi bora na mafanikio ya kupigiwa mfano wanayo, wanachokifanya wenzenu kwa sasa ni kuboresha kikosi kwenye mapungufu na sio kujenga kikosi mlijue hilo!

Kama nyumba yako inaungua alafu unakimbilia kuzima moto kwa jirani yako utakuwa na utindio wa ubongo!
 
Well said kiongozi wangu [emoji120]
 
Tuliza mshono, acha kuungue huko. Msimbazi ya msimu ujao weka mbalo na [emoji196]. Mshindani wa Simba sc msimu ujao atakiwa azam fc. [emoji196] jiandae kwa ajili ya nafasi ya tatu
 
Hata ww Ulikaa miaka 4 bila kombe wala kutoa mfungaji Bora tena kimataifa ndyo usiongee kbsa kazi yako ilikuwa kupokea wageni Airport

NB:NABI OUT
DIAMOND IN
Kwaiyo kumbe bado mnayo miaka 4 mingine ya kutoka patupu!
 
Tuliza mshono, acha kuungue huko. Msimbazi ya msimu ujao weka mbalo na [emoji196]. Mshindani wa Simba sc msimu ujao atakiwa azam fc. [emoji196] jiandae kwa ajili ya nafasi ya tatu
🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Mashabiki wengi wa Simba wanaikubaki Yanga.

Ni basi tu wanakaza Fuvu
 
Ni ajabu na kweli mashabiki na wanachama wa simba pamoja na viongozi wao wamebaki kuiongelea yanga muda wote na kusahau kabisa ya kuwa wanaitaji kuijenga timu yao ambayo imetoka kapa misimu 2 mfululizo,

Wamesahau kuwa wanaowasema wanaendelea na wataendelea kubeba makombe na kuvaa medali kwa kuwa wanao viongozi bora na makini wanaofanyya mipango yao bila presha ya aina yoyote ile,

Wanasahau wenzao wametuliza vichwa kuwashusha wachezaji wakubwa aina ya wakina makabi lilepo kutoka Al hilal na wao wamekimbilia kusainisha mchezaji kutoka ligi dhaifu ya Rwanda, kwa mwenye kumbukumbu nadhani anamkumbuka michael sarpong aliyesajiliwa na yanga kutoka ligi ya Rwanda,alisajiliwa akiwa top scorer na magoli yake 17 na asist 5 but alipofika bongo kila mwenye kumbu kumbu anajua alichokifanya!

Kwa miaka ya karibuni ligi ya Rwanda imeshuka sana akuna ushindani wa kusema unaweza kumjenga mchezaji kukabiliana na ligi ngumu ya Tanzania na ata kuwa msaada kwenye mechi za kimataifa!

Kwa maana iyo bado kauli za wakina Try again na wenzake kuwa inakuja simba mpya yenye nguvu zinaendelea kudhihirisha msamiati wa mzee Rage!

Ni muda sahihi kwenu kupaza sauti na kuushauri uongozi wenu kuacha propaganda na sio kukomaa na mambo ya yanga ambao wameshawaacha mbali kwa kuwa na timu bora, viongozi bora na mafanikio ya kupigiwa mfano wanayo, wanachokifanya wenzenu kwa sasa ni kuboresha kikosi kwenye mapungufu na sio kujenga kikosi mlijue hilo!

Kama nyumba yako inaungua alafu unakimbilia kuzima moto kwa jirani yako utakuwa na utindio wa ubongo!
Wewe una nyege na Simba tu,sasa hivi ligi imeshaisha na watu wako bize kuimarisha kikosi kwa ajili ya super cup na msimu ujao wa ligi. Wapi,nani na lini wanachama na viongozi wa Simba wameiongelea Yanga? Hatuna muda mchafu kujadili mambo yenu kama yamewashinda ni nyie sisi tunaangalia yajayo.
 
Haruna niyonzima wa mwaka gani? Niyonzima kilikuwa ni kipaji na ligi ya Rwanda miaka iyo ilikuwa ni bora sio miaka hii
Kwa hiyo kwa kuwa ligi imeshuka kiwango, na vipaji navyo vyote vimetokewa?

Pia zingatia huo msemo niliounukuhu, utakusaidia.
 
Hata ww Ulikaa miaka 4 bila kombe wala kutoa mfungaji Bora tena kimataifa ndyo usiongee kbsa kazi yako ilikuwa kupokea wageni Airport

NB:NABI OUT
DIAMOND IN
Kwa hiyo na wewe umeamua kutoa nafasi ya miaka minne kwa mwenzio?
 
Back
Top Bottom