Simba mnashibisha familia ya jirani wakati ya kwenu inalala njaa!

Kuna nduguzo Nalia Ngwena,Demigod na Laban Og kwa siku kila mmoja anaanzisha threads zaidi ya 5 kuihusu Simba huwaonei huruma hawa? Hapa wana Simba wakianizsha thread zinahusu club,viongozi na wachezaji wao kuwakosoa ili Simba ifanye vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…