Simba mngesajili Left Back M. Husein ameshuka kiwango

Hardlife

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2021
Posts
2,758
Reaction score
6,299
Pamoja na sajili nzuri mlizofanya (uzuri utakamilika mpaka tuwaone) nilitaraji angesajiliwa beki wa kushoto pia. Nasema hivyo kwakuwa naamini Mohamed Husein ameshuka kiwango pakubwa sana.

Nimemfuatilia sana Mohamed Husein tangu atoke mapumziko Dubai wakati wa mapumziko ya kumaliza msimu wa 2021/22.

Nilianza kumfuatilia tangu match ya Taifa Star vs Uganda nk. Pia akiwa Simba magoli mengi yanapitia upande wake sana mfano goal Vs Prison na Mbeya City.

Ametumika sana sasa ni wakati wa kupata mbadala wake. Gadiel Michael ni wakawaida sana.

Mtazamo wangu.
 
Pia akiwa Simba magoli mengi yanapitia upande wake sana mfano goal Vs Prison na Mbeya City.
Simba imeruhusu magoli 11 katika mashindano matatu; CAF CL, NBC PL na ASFC. Kuwa very specific badala ya kusema 'magoli mengi', kwamba katika hayo magoli 11, Mohamed Hussein amechangia kuruhusu mangapi?

Lakini pia usisahau majukumu mengine anayopewa na kocha, kama vile kushambulia, useme specifically, ameshindwa vipi katika mechi ipi kupanda juu na kupiga kross
 
Pamoja na sajili nzuri mlizofanya (uzuri utakamilika mpaka tuwaone) nilitaraji angesajiliwa beki wa kushoto pia. Nasema hivyo kwakuwa naamini Mohamed Husein ameshuka kiwango pakubwa sana.

Nimemfuatilia sana Mohamed Husein tangu atoke mapumziko Dubai wakati wa mapumziko ya kumaliza msimu wa 2021/22.

Nilianza kumfuatilia tangu match ya Taifa Star vs Uganda nk. Pia akiwa Simba magoli mengi yanapitia upande wake sana mfano goal Vs Prison na Mbeya City.

Ametumika sana sasa ni wakati wa kupata mbadala wake. Gadiel Michael ni wakawaida sana.

Mtazamo wangu.
Naunga mkono hoja. Niliwahi kuileta hii mada nikashambuliwa sana nikaona nikae kimya niache muda utaongea. Pass zake nyingi pia zinageuka turnovers kwa maana timu inapoteza umiliki wa mpira. Kwangu hili mimi ndiyo nimeliona tatizo kubwa zaidi.

Wanapata wakati mgumu kumuweka benchi kwa sababu ya jina na ucaptain ila anaicost timu pakubwa. Wambadilishie namba acheze hata winga.

Huyo Sewadogo nimesoma anapenda kutumia mguu wa kushoto labda watamjaribu. Ningeweza kumjaribu hata Onyango hata kama siyo mtumiaji wa shoto halafu kati pale Outtara au Kennedy akasaidiana na Inonga.
 
Mm nadhani Mohamedi Hussein anapata shiida Sana kwa sababu Simba hatuna kiungo mkabaji mzuri ! Na yeye Hussein anapenda kupanda kushambulia! Anapokuwa amepanda akipokwa mpira! auql1
 
Pamoja na sajili nzuri mlizofanya (uzuri utakamilika mpaka tuwaone) nilitaraji angesajiliwa beki wa kushoto pia. Nasema hivyo kwakuwa naamini Mohamed Husein ameshuka kiwango pakubwa sana.

Nimemfuatilia sana Mohamed Husein tangu atoke mapumziko Dubai wakati wa mapumziko ya kumaliza msimu wa 2021/22.

Nilianza kumfuatilia tangu match ya Taifa Star vs Uganda nk. Pia akiwa Simba magoli mengi yanapitia upande wake sana mfano goal Vs Prison na Mbeya City.

Ametumika sana sasa ni wakati wa kupata mbadala wake. Gadiel Michael ni wakawaida sana.

Mtazamo wangu.
Hussein ameshuka sio Cr, lbda hii vacation itambadili.
 
Naunga mkono hoja. Niliwahi kuileta hii mada nikashambuliwa sana nikaona nikae kimya niache muda utaongea. Pass zake nyingi pia zinageuka turnovers kwa maana timu inapoteza umiliki wa mpira. Kwangu hili mimi ndiyo nimeliona tatizo kubwa zaidi.

Wanapata wakati mgumu kumuweka benchi kwa sababu ya jina na ucaptain ila anaicost timu pakubwa. Wambadilishie namba acheze hata winga.

Huyo Sewadogo nimesoma anapenda kutumia mguu wa kushoto labda watamjaribu. Ningeweza kumjaribu hata Onyango hata kama siyo mtumiaji wa shoto halafu kati pale Outtara au Kennedy akasaidiana na Inonga.
Tena hapo kwenye pass nakazia aisee. Tutaona very soon.
 
Simba imeruhusu magoli 11 katika mashindano matatu; CAF CL, NBC PL na ASFC. Kuwa very specific badala ya kusema 'magoli mengi', kwamba katika hayo magoli 11, Mohamed Hussein amechangia kuruhusu mangapi?

Lakini pia usisahau majukumu mengine anayopewa na kocha, kama vile kushambulia, useme specifically, ameshindwa vipi katika mechi ipi kupanda juu na kupiga kross
Hawezi jibu hilo.
 
Gadiel Michael bado yupo yupo sana. Na ukijumlisha na kile kitengo chake kipya cha kukagua uwanja kabla ya mechi, ndiyo kabisaa!!
 
Kitaalamu sio kuwa Mohamed Hussein ameshuka kiwango bali ni Simba haina kiungo mkabaji asili mahiri kama walivyokuwa Lwanga na Fraga. Walinzi wa pembeni wanapogeuka kuwa washambuliaji wakati mchezo unaendelea kazi ya kiungo mkabaji ni kurudi na kuweka ulinzi ili inapotokea timu imepoteza mpira na kufanyiwa shambulizi la kushtukiza hapo sasa ndio kazi ya kiungo mkabaji inatakiwa ionekane. Wakati mwingine hata mshambuliaji wa pembeni akiwa mahiri akiona beki wake wa pembeni amepanda sana kwenda kushambulia basi yeye hatapanda sana ili kumsaidia beki wake linapotokea shambulizi la kushtukiza na mfano mzuri wa mawinga kama hao ni kama ilivyokuwa kwa Miquisone na Dilunga ambao utashangaa kuwaonza wapo pembeni kabisa nyuma wamelala kutoa mpira nje unaweza ukafikiri siku hiyo kapangwa beki.

Mzamiru na Kanoute kiasili sio viungo wakabaji lakini wanacheza hiyo nafasi kwa sababu Simba haina kiungo mkabaji asili na ndio maana kuna muda wanajisahau wote unawakuta kwenye boksi la timu pinzani wanashambulia wakati mmojawapo alitakiwa abaki aweke ulinzi..
 
Naunga mkono hoja. Niliwahi kuileta hii mada nikashambuliwa sana nikaona nikae kimya niache muda utaongea. Pass zake nyingi pia zinageuka turnovers kwa maana timu inapoteza umiliki wa mpira. Kwangu hili mimi ndiyo nimeliona tatizo kubwa zaidi.

Wanapata wakati mgumu kumuweka benchi kwa sababu ya jina na ucaptain ila anaicost timu pakubwa. Wambadilishie namba acheze hata winga.

Huyo Sewadogo nimesoma anapenda kutumia mguu wa kushoto labda watamjaribu. Ningeweza kumjaribu hata Onyango hata kama siyo mtumiaji wa shoto halafu kati pale Outtara au Kennedy akasaidiana na Inonga.
Kwa maelezo yako ya kuwa ungwachezesha Onyango na Outarra kwa wakati mmoja kwenye back line naomba kusema tu hujui lolote kuhusu mpira. Onyango na Outara wote ni traditional defenders. Wanacheza kwenye nafasi zao tu.
Ukimpa Onyango majukumu ya kucheza beki ya pembeni ni wazi unataka acheze pia kama winga kama ilivyo desturi ya sasa.
Ni bora ungesema hata Hinonga acheze pembeni maana ni dynamic defender na anapenda kucheza mpira. Ila pia huwezi kuweka nyuma pair kati ya Kenedy, Outtara na Onyango. Wote wanacheza staili moja. Hiyo timu itakula magoli walau 3 kila mechi.
 
Nimetoa pendekezo la haraka kwa hiyo inawezekana Onyango hakuwa mfano sahihi. Ndiyo maana nikasema kumjaribu. Kwa hiyo kuswitch hapo ukamuweka Inonga ni sahihi pia.

Tunaweza kujadiliana kwa staha bila kusema "wewe haujui lolote kuhusu mpira". Ningekuwa sijui lolote ningekuwa hata katika jukwaa hili?

Cha kuongezea usikariri sana mambo. Hayo mambo ya "traditional defenders" sijui wachambuzi gani wamewakaririsha. Mchezaji pro anaweza kubadilika pale timu inapohitaji msaada wake tofauti na uliozoeleka, ni suala la flexibility na kuwa tayari kujifunza. Huko nyuma kulikuwa na defenders waliohamishwa na kuwa strikers na wakawa wanafunga magoli vilevile.
 
Haya tuongelee hapo kwenye flexibility, wewe unaona Onyango, Outtara na Kenedy ni wachezaji flexible?
Ulishawanote timu ikicheza faulo ya cross au kona halafu ikawa blocked wanavyopata shida kurudi kwenye nafasi?
Kafanye marejeo ya match ya Simba vs Kaizer chief halafu utaelewa nachosema.
N. B; nani amekuambia wote humu tunawafuatilia wachambuzi ili kujua stuation ya mpira?
 
Halafu unajua kisa cha kumtaja Onyango ni kwa sababu hataki kukaa benchi kama alivyotishia kuondoka siku za nyuma, nilimtaja kwa kusita sana. Mfano mzuri ungekuwa mchezaji kama Israel Mwenda.

Kuhusu hilo la wachambuzi, nimeona tu watu wengi siku hizi wanaongelea hayo mambo ya traditional hivi na vile ndiyo sielewi watu wanayatoa wapi.
 
Kitaalamu sio kuwa Mohamed Hussein ameshuka kiwango bali ni Simba haina kiungo mkabaji asili mahiri kama walivyokuwa Lwanga na Fraga. Walinzi wa pembeni wanapogeuka kuwa washambuliaji wakati mchezo unaendelea kazi ya kiungo mkabaji ni kurudi na kuweka ulinzi ili inapotokea timu imepoteza mpira na kufanyiwa shambulizi la kushtukiza hapo sasa ndio kazi ya kiungo mkabaji inatakiwa ionekane. Wakati mwingine hata mshambuliaji wa pembeni akiwa mahiri akiona beki wake wa pembeni amepanda sana kwenda kushambulia basi yeye hatapanda sana ili kumsaidia beki wake linapotokea shambulizi la kushtukiza na mfano mzuri wa mawinga kama hao ni kama ilivyokuwa kwa Miquisone na Dilunga ambao utashangaa kuwaonza wapo pembeni kabisa nyuma wamelala kutoa mpira nje unaweza ukafikiri siku hiyo kapangwa beki.

Mzamiru na Kanoute kiasili sio viungo wakabaji lakini wanacheza hiyo nafasi kwa sababu Simba haina kiungo mkabaji asili na ndio maana kuna muda wanajisahau wote unawakuta kwenye boksi la timu pinzani wanashambulia wakati mmojawapo alitakiwa abaki aweke ulinzi..
Point zako zinaeleweka vizuri. Ngoja tuone katika mechi chache zijazo kuangalia kama kutakuwa na mabadiliko.
 
Kwa maelezo yako ya kuwa ungwachezesha Onyango na Outarra kwa wakati mmoja kwenye back line naomba kusema tu hujui lolote kuhusu mpira. Onyango na Outara wote ni traditional defenders. Wanacheza kwenye nafasi zao tu.
Ukimpa Onyango majukumu ya kucheza beki ya pembeni ni wazi unataka acheze pia kama winga kama ilivyo desturi ya sasa.
Ni bora ungesema hata Hinonga acheze pembeni maana ni dynamic defender na anapenda kucheza mpira. Ila pia huwezi kuweka nyuma pair kati ya Kenedy, Outtara na Onyango. Wote wanacheza staili moja. Hiyo timu itakula magoli walau 3 kila mechi.
Kuna mechi siikumbuki Onyango alishecheza beki mbili Tena alicheza vizuri na cross akawa anapiga kuhusu Shabalala kosa la kwanza anapokuwa uwanjani anawaza kushambulia pia anapenda kukaa na mpira muda mrefu ni kama anapunguza Kasi ya timu, anapenda kutoa pasi za uchonganishi na akikutana na winga mwenye Kasi mi tatizo ingawa na mara nyingi anasababisha ukuta wa Kasi uvunjike kwani madhaifu yake yanawafanya mabeki wa kati watoke sehemu yao na kwenda kumsaidia Huku wakiacha eneo lao wazi
 
Back
Top Bottom