Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
Pamoja na sajili nzuri mlizofanya (uzuri utakamilika mpaka tuwaone) nilitaraji angesajiliwa beki wa kushoto pia. Nasema hivyo kwakuwa naamini Mohamed Husein ameshuka kiwango pakubwa sana.
Nimemfuatilia sana Mohamed Husein tangu atoke mapumziko Dubai wakati wa mapumziko ya kumaliza msimu wa 2021/22.
Nilianza kumfuatilia tangu match ya Taifa Star vs Uganda nk. Pia akiwa Simba magoli mengi yanapitia upande wake sana mfano goal Vs Prison na Mbeya City.
Ametumika sana sasa ni wakati wa kupata mbadala wake. Gadiel Michael ni wakawaida sana.
Mtazamo wangu.