Simba msijidanganye kwamba mnayo timu bora kwa kuifunga ST. George

Mnataka niongee mnachopenda kukisikia masikioni mwenu eti? Basi tufanye nyie ni bora na mmefunga timu bora na mna kikosi imara sana, mtafika mbali sana kwenye michuano ijayo, sifa kwenu furahini
 
Watu mnaotembea na vinyesi kwenye vyupi vyenu ni wa kupuuzwa tu.
 
Mbona naona kama ramli tu.
Kwa hiyo ulitaka wafungwe ndiyo ujuwe kuwa timu ni Bora? Hayo ni maoni yako.
Mbona mnateseka sana?
 
Mnaendelea kuthibitisha maneno ya MC wenu wa mchongo.
 
Yaani we unapaswa uwe mbishani kwenye vijiwe vya kawaha mitaani uswahilini na si humu JF. You've not yet qualified even to talk about your utopolo team due to your thinking capacity
Wewe ni muha,kawaha ndiyo nini?
 
Mnataka niongee mnachopenda kukisikia masikioni mwenu eti? Basi tufanye nyie ni bora na mmefunga timu bora na mna kikosi imara sana, mtafika mbali sana kwenye michuano ijayo, sifa kwenu furahini
Kwisha khabar yakoo
 
Mnataka niongee mnachopenda kukisikia masikioni mwenu eti? Basi tufanye nyie ni bora na mmefunga timu bora na mna kikosi imara sana, mtafika mbali sana kwenye michuano ijayo, sifa kwenu furahini
Weee baki na utopolo yako, hatutaki sifa kutoka kwako,.
Ukiisifia team yako inatosha lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiwa yanga unakuwa mjinga sana, kwa hiyo kipimo kizuri ni mpaka timu ifungwe?
Uto mlichukua mabingwa wa uganda wakawapiga viwili vya uhakika, simba tumechukua mabingwa wa ethiopia tumewapiga 2.

Manara, morrison na luc walishamaliza kila kitu kuhusu vyura nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…