Simba msijidanganye kwamba mnayo timu bora kwa kuifunga ST. George

Uto bhana
IMG_20220802_161245_871.jpg
 
Mnataka niongee mnachopenda kukisikia masikioni mwenu eti? Basi tufanye nyie ni bora na mmefunga timu bora na mna kikosi imara sana, mtafika mbali sana kwenye michuano ijayo, sifa kwenu furahini
 
Nilishangaa Sana simba kwenda kuwaalika st.george ya ethiopia kucheza nao, kweli wamechagua timu ya kupata matokeo hili kuwafurahisha mashabiki wao lakini kama ni kipimo cha kujiandaa kucheza mechi za kimataifa basi wamepotea njia kwa aina ya timu waliyocheza nayo, Timu inapiga chenga na kucheza show game awaeleweki wanataka nini, Na nimewafatilia nimeona uwa wanaishia hatua za mwanzo kwenye mechi za kimataifa ni ngumu Sana kutoboa kwa timu ya aina hii, Simba mmeshinda lakini hii timu aikuwa kipimo sahihi kwenu na kwa kuwaonyesha kuwa akikuwa kipimo sahihi subilini jumamosi mtakapocheza na wale waliofungwa juzi, Mapungufu yenu mtaonyeshwa jumamosi Kama nyie ni bora ama lah!
Watu mnaotembea na vinyesi kwenye vyupi vyenu ni wa kupuuzwa tu.
 
Mbona naona kama ramli tu.
Kwa hiyo ulitaka wafungwe ndiyo ujuwe kuwa timu ni Bora? Hayo ni maoni yako.
Mbona mnateseka sana?
 
Nilishangaa Sana simba kwenda kuwaalika st.george ya ethiopia kucheza nao, kweli wamechagua timu ya kupata matokeo hili kuwafurahisha mashabiki wao lakini kama ni kipimo cha kujiandaa kucheza mechi za kimataifa basi wamepotea njia kwa aina ya timu waliyocheza nayo, Timu inapiga chenga na kucheza show game awaeleweki wanataka nini, Na nimewafatilia nimeona uwa wanaishia hatua za mwanzo kwenye mechi za kimataifa ni ngumu Sana kutoboa kwa timu ya aina hii, Simba mmeshinda lakini hii timu aikuwa kipimo sahihi kwenu na kwa kuwaonyesha kuwa akikuwa kipimo sahihi subilini jumamosi mtakapocheza na wale waliofungwa juzi, Mapungufu yenu mtaonyeshwa jumamosi Kama nyie ni bora ama lah!
Mnaendelea kuthibitisha maneno ya MC wenu wa mchongo.
JamiiForums843522370.jpg
 
Yaani we unapaswa uwe mbishani kwenye vijiwe vya kawaha mitaani uswahilini na si humu JF. You've not yet qualified even to talk about your utopolo team due to your thinking capacity
Wewe ni muha,kawaha ndiyo nini?
 
Mnataka niongee mnachopenda kukisikia masikioni mwenu eti? Basi tufanye nyie ni bora na mmefunga timu bora na mna kikosi imara sana, mtafika mbali sana kwenye michuano ijayo, sifa kwenu furahini
Kwisha khabar yakoo
 
Weee baki na utopolo yako, hatutaki sifa kutoka kwako,.
Ukiisifia team yako inatosha lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiwa yanga unakuwa mjinga sana, kwa hiyo kipimo kizuri ni mpaka timu ifungwe?
Uto mlichukua mabingwa wa uganda wakawapiga viwili vya uhakika, simba tumechukua mabingwa wa ethiopia tumewapiga 2.

Manara, morrison na luc walishamaliza kila kitu kuhusu vyura nyie.
 
Back
Top Bottom