Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu mnaotembea na vinyesi kwenye vyupi vyenu ni wa kupuuzwa tu.Nilishangaa Sana simba kwenda kuwaalika st.george ya ethiopia kucheza nao, kweli wamechagua timu ya kupata matokeo hili kuwafurahisha mashabiki wao lakini kama ni kipimo cha kujiandaa kucheza mechi za kimataifa basi wamepotea njia kwa aina ya timu waliyocheza nayo, Timu inapiga chenga na kucheza show game awaeleweki wanataka nini, Na nimewafatilia nimeona uwa wanaishia hatua za mwanzo kwenye mechi za kimataifa ni ngumu Sana kutoboa kwa timu ya aina hii, Simba mmeshinda lakini hii timu aikuwa kipimo sahihi kwenu na kwa kuwaonyesha kuwa akikuwa kipimo sahihi subilini jumamosi mtakapocheza na wale waliofungwa juzi, Mapungufu yenu mtaonyeshwa jumamosi Kama nyie ni bora ama lah!
Mnataka niongee mnachopenda kukisikia masikioni mwenu eti? Basi tufanye nyie ni bora na mmefunga timu bora na mna kikosi imara sana, mtafika mbali sana kwenye michuano ijayo, sifa kwenu furahini
Nyie mnatobolewa mwishoni?Yaani furaha ya yanga na kipimo cha yanga nikuifunga simba ndo maana kimataifa wakienda wanatobolewa mapema wanarudi avic town kuvua.
Mnaendelea kuthibitisha maneno ya MC wenu wa mchongo.Nilishangaa Sana simba kwenda kuwaalika st.george ya ethiopia kucheza nao, kweli wamechagua timu ya kupata matokeo hili kuwafurahisha mashabiki wao lakini kama ni kipimo cha kujiandaa kucheza mechi za kimataifa basi wamepotea njia kwa aina ya timu waliyocheza nayo, Timu inapiga chenga na kucheza show game awaeleweki wanataka nini, Na nimewafatilia nimeona uwa wanaishia hatua za mwanzo kwenye mechi za kimataifa ni ngumu Sana kutoboa kwa timu ya aina hii, Simba mmeshinda lakini hii timu aikuwa kipimo sahihi kwenu na kwa kuwaonyesha kuwa akikuwa kipimo sahihi subilini jumamosi mtakapocheza na wale waliofungwa juzi, Mapungufu yenu mtaonyeshwa jumamosi Kama nyie ni bora ama lah!
Wewe ni muha,kawaha ndiyo nini?Yaani we unapaswa uwe mbishani kwenye vijiwe vya kawaha mitaani uswahilini na si humu JF. You've not yet qualified even to talk about your utopolo team due to your thinking capacity
Kushiriki ni jambo moja na kufanya vizuri nipo jambo jingineSt. George inashiriki CAF Ile sio Kagera sugar
Kwisha khabar yakooMnataka niongee mnachopenda kukisikia masikioni mwenu eti? Basi tufanye nyie ni bora na mmefunga timu bora na mna kikosi imara sana, mtafika mbali sana kwenye michuano ijayo, sifa kwenu furahini
Hapana tumetobolewa na venom fc kwenye siku yetu ya utopolo dayNyie mnatobolewa mwishoni?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemkomeshaaa haswaaa.Ila vipers huwa wanafika nusu final
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anateseka akiwa mtaa wa vyura bin matopeni
Weee baki na utopolo yako, hatutaki sifa kutoka kwako,.Mnataka niongee mnachopenda kukisikia masikioni mwenu eti? Basi tufanye nyie ni bora na mmefunga timu bora na mna kikosi imara sana, mtafika mbali sana kwenye michuano ijayo, sifa kwenu furahini
Saint George na yanga ipi ni team bora?Kushiriki ni jambo moja na kufanya vizuri nipo jambo jingine