Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnataka niongee mnachopenda kukisikia masikioni mwenu eti? Basi tufanye nyie ni bora na mmefunga timu bora na mna kikosi imara sana, mtafika mbali sana kwenye michuano ijayo, sifa kwenu furahini
[emoji23][emoji23][emoji23]We nae unakalia chuma ya Mbowe na hatusemi [emoji23][emoji23]
Saint George na yanga ipi ni team bora?
Mie ni mwana lunyasi kindaki ndaki, niuliza hilo swali kusudi tyuuh,View attachment 2318521
View attachment 2318524
View attachment 2318525
View attachment 2318526
We unaona nani bora hapo...???jibu ukilipata basi jiongeze kuwa simba kamfunga bora kuliko nyie ..
Nnya Sports Club hawajitambuiNikumbuka maneno ya Manala hasa haya ya juzijuzi, nabaki kunyamaza tu.
Na kocha Aime.